Assume ni wewe!

Assume ni wewe!

HOBYNOBY

Member
Joined
May 23, 2013
Posts
44
Reaction score
4
Utafanyaje endapo ukiona maisha yote uliyoishi kumbe ni "NDOTO" unaamka unakuta bado upo darasa la kwanza.
 
Hahahaaa nmekupata vlvyo "lazima ukae" 2po pa1 ingawa mmh! camn kama kwel utafurahi
 
ahahhahhahaaa nitalala tena ili niote tena ili nirekebishe makoxa nilifnya.
 
Nitafurahi kwakuwa nitashinda na kwenda shule za kata enzizetu Mwanza ilikuwa na shule 1 mkichaguliwa sana 3 kwa shule moja
 
sitamani kurudi nyuma hata hatua moja.maana huko nilikotoka ni kugumu sana
 
Utafanyaje endapo ukiona maisha yote uliyoishi kumbe ni "NDOTO" unaamka unakuta bado upo darasa la kwanza.

Dah... Ntashukuru Mungu, na hizi rafu nilizocheza..! Mwe..!
 
Unafkr kuw maisha yatakuw maref kiac gan? kama ndoto ya ucku m1 tu ipo hiv itabd 2clale teeeena ili maisha yaanze live.
 
Ningefurahi mana kila ktu wafanyiwa

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Mmmh! na vp kuhusu mikikimikiki ya kiprimary ulyoiotea ndoto yaan unaianza upya jaman. Binafc nngetafuna daftar zoooote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom