Assault on Dr. Ulimboka: Who Did It?

Kikwete kasema kam ni Serikali inahusika yeye personaly hajamtuma mtu kufanya hivyo kwa hiyo inaonesha kuna mtu mwingine ndani ya serikali ila sio yeye Mwisho watataja majina kabisa

anakwepa kuambiwa kujiuzuru baada ya ukweli kuwa wazi!
 

I still doubt the whole process; if the so called ACP Msangi was behind it under whose direction did he work? The Government or someone else? Lets not forget our police machine is working under the influence of corruptions; also where are the two mysterious people the Dr. Who accompany Dr. Ulimboka and Ikulu official Mr. Abeid? To my understanding if the Government was working to eliminate Dr. Ulimboka the process could have been very easily; we all know how things worked in the past; why they left the other Dr? Were the Government agents stupid enough to leave the trace behind? There is possibility somebody with intention to bring down the Government did it as I said before within the top brass of Chadema some of them were majambazi by professional; who knows? Don`t tell me they retired for good; politics is always gonna be dirty game open up your mind!

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Huyo Mzee Mwanakijiji siku akiona hivyo dunia itageuka juu chini.



Mzee Mwanakijiji hataki kuona chumvi zaidi kwenye mgomo kwa imani kuwa Serikali yetu bado inao uwezo wa kuona forces za aina hiyo na kuzizuia. Kuona hivyo unavyotaka wewe ni kuidhalilisha zaidi serikali.
 
The Water is so murky

visibility almost nil

surely

who done it?
 


Ndugu Chama. Kiingereza kinakupa shida. Jieleze tu kwa Kiswahili! Tutakuelewa tu
 
Uchunguzi wa Zaidi ya Miaka 5 na Bado wameshidwa kupatikana..Ila tunaambiwa Jeshi la Polisi liko Imara..
 
It is called memory.. kuna watu tangu 2015 hadi hivi wamepata tatizo la usahaulifu wa kuamua..

..shambulizi dhidi ya Tundu Lissu unalielezea vipi?

..Je, umeridhika na ukimya wa jeshi la Polisi kuhusu tukio lile?
 
It is called memory.. kuna watu tangu 2015 hadi hivi wamepata tatizo la usahaulifu wa kuamua..
Kuna Watu wameamua kupambana na hii hali trh 26 April lakini mnawabeza..Hakuna anayeweza Kusahau haya Matukio labda awe mwana CCM..Tusimpe Utakatifu Magu sababu yanayotokea sasa hivi yalishawahi kutokea huko Nyuma..Hata BWM aliua Wapemba Usidhani Wamesahau..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…