Assalaam aleykum.

Assalaam aleykum.

Jua limechomoza na miale yake ya rangi ya dhahabu imetawanyika katika uso wa dunia ikirutubisha mimea,wanyama,binaadamu na vilivyomo.pia rangi nzuri ya kijani iliyotapakaa kila pembe ya tanzania imekuwa kama maua mazuri ya kuwaunganisha wapendanao rangi hii nzuri ya kijani iwe mahsusi kwa my love Evelyn Salt dada zangu wapenzi king'ast Arabela bila kumsahau shemeji yangu wa ukweli charminglady manoah Dr.zero na wengine kibao pia nawe tumia fursa hii kumwambia umpendae good morning.

Good evening my shem.... vp shost angu Evelyn Salt hajambo???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom