Asprin......

Asprin......

Mzima mamii,
Mbona unamkongoroa Asprin??
Yaani umemletea wanawake wa kuoa wamejaa samtrela???

Au siku hizi anaoa kwa macho tu?
mi mwenyewe karibu atanishinda! kila kukicha anataka kuoa, juzi kati alitaka kumkagua dada mmoja humu anaitwa AmKATRINA, we kufika kwenye chumba cha ukaguzi kumbe demu ana niniliyu mbili na ya kike na ya kiume! lol
 
Last edited by a moderator:

Pamoja na yote we bado umo tu? Mi nshawahi kusema huyu Asprin sio bure ana undugu na wapemba ,tena wa mangapwani.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga huyu nimemuweka kiporo, namngoja Zinduna apate nafuu, tukamsutie baharini!

Na mjaribu muone,mwenzenu nna hawara anaitwa Havintishi binti Kengeulaya kwao kibiti,jaribuni muone kama hamjahama jeifu.
 
Last edited by a moderator:
Na mjaribu muone,mwenzenu nna hawara anaitwa Havintishi binti Kengeulaya kwao kibiti,jaribuni muone kama hamjahama jeifu.
mmmhhhh kelele za chura tu hizo.................! enhe kakupa vitu vipi?
 
mmmhhhh kelele za chura tu hizo.................! enhe kakupa vitu vipi?

Mwenzenu nabanwa kwa khanga kabla kazi haijaanza vinginevyo weza rushwa kupitia dirishani,chezeiya wewe mwanamke wa kimatumbi kwao mama wa ikwiriri baba wa nandonde.
 
Back
Top Bottom