Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Nini inataka kutoboa serewale?
Oyaaa... kioo kikubwa tunaenda au hatuendi?Kumbe ana tabia mbaya! kwani karudia ile tabia yake ya kukojoa kitandani?
Wewe tu! kama vp tulianzishe sasa hivi! Mshtue mshikaji kieleweke!Oyaaa... kioo kikubwa tunaenda au hatuendi?
Hahahah! Mpaka sasa bila bila!! manina unusu! Kitamata haina kazi leo! Al-tawfiq wallah!!Wewe tu! kama vp tulianzishe sasa hivi! Mshtue mshikaji kieleweke!
Sasa inakuwaje? na nimemmisije! na amesemajee? na ahadi ameivunjajee?Hahahah! Mpaka sasa bila bila!! manina unusu! Kitamata haina kazi leo! Al-tawfiq wallah!!