Asprin......

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Amejenga harem kama ile ya marhubi Zanzibar.Ina bedrooms 99 na lengo lake kila chumba kiwe na 'mke'.Hadi sasa vyumba 15 tayari vishakuwa occupied (wahusika jitajeni wenyewe kabla sijawataja kuanzia na cacico).
Kulingana na uzito wa jukumu la kuzungukia wakeze inaaminika bwana mkubwa huyu imebidi aagize spesho mkuyati toka Nigeria (Mamndenyi ndo kamletea,sijui wanahusiana kivipi).
Habari za uhakika zinasema nje ya kasri kuna foleni ya kufa mtu kinamama wakigombea 'wasajiliwe' (hawa nao nawataka wajitaje wenyewe kabla sijawaorodhesha hapa).
Subirini kidogo nimalizie kutega secret camera kwenye lisauna lake lenye uwezo wa kuchukua watu mia at a go ili niwarushie picha 'live'.
Hakika Asprin ni mtu wa kazi,no wonder kwa siku anakula kuku watatu. Erickb52 fuata maneno ya asprin usifuate matendo yake usije pasuka msamba,shauri lako.
 
Last edited by a moderator:

Bwana Bishanga hebu niache kwanza nijiburusishe na wajukuu zangu bana! Kuanzia mbele kurudi nyuma Yummy, BADILI TABIA, cacico, na Catherine. Wa nyuma ni Kongosho, charminglady na princess enny

DSC07972.JPG
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom