CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Hahahaha.... ngoja laaziz wangu cacico na my wifey material BADILI TABIA na asali ya ODM Kongosho waje wanisaidie kushukuru. Manake mbichwa huoooo!!
Lakini unasema kweli Bishanga huku ni full maujiko. Muda si mrefu nimetoka kupokea simu ya Yummy anataka tukutane Fyatanga nimlishe nyama ya mbuzi.
charminglady naye kanambia yuko njiani anakuja
The secretary hantaki bana ,anasema kwanza mkitambi wangu too much na pia ninakoroma sana.
dada msiri wangu wa moyoni! za jioni?? kha, mi mithd u, ndio nilikuwa najiandaa kuanza maandamano, nimecheck na kituo cha polisi mabwe-pande nimekuta hola! kha u made me to b so scared!
kilugwai kitakuhusuje tena?? shaurilo! hivi unasalimiaje kwa lugha yenu tena? ni taspota, au paspota? kha! nahitaji kujua!
umeona eee! by the way, leo hatukautani maeneo??? au mpaka ile ahadi itimie?na weye hilo jicho na watu................hala hala! mabwepande panakuhusuje?
pole mamito! nilikumith pande hizi, ujue uwepo wangu unafanya wageni waogope kumsogelea Kaizer, mi nakulindia we unanituhumu! shaurilo nikisusa kukulindia, nipe ma- udaku ya leo!lolest! nlikuwa nimejifungia kwa lab na maji machafu na kuhesabu wadudu since morning mamii, nimelimisije hilo jicho lako? hivi Asprin anajua kuwa hilo jicho kwenye avatar ni lako kweli? duh! ...............anafaidi sana aisee. haya nakuona wammezea mate Kaizer wangu, weye ushindwe na ulegee kabisa..................yule humuwez yaya zake ni mfyonzo kwa kwenda mbele.
Kaizer ma swtllo huyu cacico asikulaghai hilo jicho ni kazi ya kungu tu wala haihuu kabisaa............halafu mfyonzo haujui kabisaa
Aisee we gfsonwin hebu njoo pande hii nikulambe busu la haja. Nimechoka kuibiwa hebu nawe njoo tuibemo.
pole mamito! nilikumith pande hizi, ujue uwepo wangu unafanya wageni waogope kumsogelea Kaizer, mi nakulindia we unanituhumu! shaurilo nikisusa kukulindia, nipe ma- udaku ya leo!
tufanye ile siku tuliyopanga bwana, ndio tutakuwa tumemisiana! kha, naandaaje mbavu kucheka mie?weye tena msiri wangu!!!!!!!!!!lolest ma udaku yanakuhusuje? au tukutane yale maeneo tujidunge japo ki monalisa cha nyagi nini? wapi sasa brajec ama miye kama kawa natokea yale maeneo yangu.
Asprin , klorokwini yuko wapi anitulize moyo wangu?
Una uhakika kaizer humchangii na mtu,hujapata habari zake na CUTE?
he mke mwenza upo?Asprin , klorokwini yuko wapi anitulize moyo wangu?
mwe, mwe mwe! nakwambia ni janga la kitaifa! kha! sijui nijiengue au niendelee kuvumilia?