Umbea hauna posho...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Picha ya nanihi hiyo sio mimi.Umbea hauna posho...
Au niweke umbea wa niliyoshuhudia ukiyafanya pale Lastanza??
Afadhali umeelewa sasa maana nilitaka nikupeleke field mpaka uone hatma yake inavyokuwa
Hahahahahahaa jamaniii mama wa watu kafumbata mikono huku akimuangalia Dr. Love Pimbi wake anavohangaika kupambana na mashambulizi. Sijui hiyo Dr. alifanikiwa kutua airport...??!!
Halafu hizi mambo ndo ilisababisha ile botanical garden ya pale karibu na ocean road nyuma ya standard chartered kufungwa? Like zamani ilikuwa mnaruhusiwa kwenda mnakaa ukichoka mnaondoka mradi msiache uchafu. Kuna kipindi kama miaka 6 nyuma nilienda mida ya mchana nikaambiwa siku hizi hawaruhusu watu kuingia na kukaa. ....
Ila na wao kwanini wameweka hicho kiti kwenye majani mengi hivo...
Hapana chezea utamu aiseeh aahahahahahahhaaa
Babu basi nshaelewa kila kitu.
Shhhhhiiiiiiiiii!Sky Eclat anajua lkn?!...
Inaonekana hii bustan iko special kwa kaz za mchanaYani hako kabenchi kameokoa wengi sana na magharama ya vyumba vya wageni
Sasa kama hawa hawana wasiwasi kabisa...
View attachment 701749
Inaonekana hii bustan iko special kwa kaz za mchana
Kuwa mpole naelekea chumba cha ukaguzi nipe file la Demiss.Sky yupi unayemzungumzia wewe?
Jisalimishe Kwake Pm kwa ukaguzi...Babu ujue unanihamasisha oohooo....
Inaonekana hii bustan iko special kwa kaz za mchana
Yani hako kabenchi kameokoa wengi sana na magharama ya vyumba vya wageni
Sasa kama hawa hawana wasiwasi kabisa...
View attachment 701749
Babu ujue unanihamasisha oohooo....
SA ama Kenya kama sijakosea...
Ngoja niishie hapa kwa leo...
Tafadhali usiangalie mkono wa babu ulipowekwa... maana wewe kwa umbea sikuwezi...
@daby njoo ona hii muzeeMi najua huwa mnapenda kuvuviwa mapepo yanayowazuia kufika kilimani mapema... si ndio?
View attachment 701724