[emoji23] [emoji23] [emoji23] yeuwiiii mbavu zangu[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji102] [emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] View attachment 701453
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka mpk nimeliaMshana huyu wa kike ni nani maana sio Sky walai...
Labeka. Nimeambiwa unaniita eti
Sky yupi unayemzungumzia wewe?Mshana huyu wa kike ni nani maana sio Sky walai...
Nimeshaamka haya wahi kabla hujawahiwa. Nikichoka huwa sikagui vizuri...Mwambie babu akiamka kesho anifanyiee usaili
Rudi nyuma shetani[emoji102] [emoji102] [emoji15] [emoji23].... Aspriniiiii wee piga usingizi tuu
NimekujaNimeshaamka haya wahi kabla hujawahiwa. Nikichoka huwa sikagui vizuri...
AstaghafurulilahNimekuja
ANANYOFOA!!!!! ........over!![emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani anaondoka nayo?
Kazi kwako babu nasubir ukaguziAstaghafurulilah
Ndiyo nimekuona hapo unaingiza mkono kwenye chupa ya asali[emoji12] [emoji23]Labeka. Nimeambiwa unaniita eti
[emoji23] [emoji23] [emoji23] babu eti sh mojaHii thread ni uchonganishi na uzandiki mkubwa. Umeletwa na mtu mwenye hila na chuki dhidi yangu na familia yangu
Naomba mke wangu Sky Eclat na mchepuko wangu wa kudumu Sakayo waupuuze.
Najipanga kumpeleka mahakamani mshana jr na kumdai fidia ya shilingi moja kama hataomba radhi ndani ya siku tatu.
Wajukuu zangu tafadhali zipuuzeni taarifa hizi na msiache kuja kwa babu yenu kukaguliwa kama ilivyo desturi na mila zetu.
Nimpunguzie kidogo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] babu eti sh moja
Hapana huo ni ukaguzi wa kawaida tu. Sema huyu mpare ameamua kuugeuzia kibao.Ndiyo nimekuona hapo unaingiza mkono kwenye chupa ya asali[emoji12] [emoji23]
Unataka nikukague kama navyomkagua huyo kwenye picha au nifanye ukaguzi wa aina nyingine?Kazi kwako babu nasubir ukaguzi