Asprin, Krolokwin, Fellow Tablet, Quinine.....

Asprin, Krolokwin, Fellow Tablet, Quinine.....

Klorokwini, mtoto wa baba more than 3 atatokaje??? hizo wish :nono::nono:
Halaf Lily Flower sjui nani alikwambia kama nina marazi na miguu, yaani hii miguu yako mimi nikiiona tu basi nasahau mpaka password yangu ya JF. Jamani mtauwa halaf mazikoni msihuzurie
 
Asprin
Klorokwin
Fellow tablets
Fellow tablets 1
TF
Mmmmmhhhhhh
AD CONFUSED....(Heeeeeeeeeelp)
 
Halaf Lily Flower sjui nani alikwambia kama nina marazi na miguu, yaani hii miguu yako mimi nikiiona tu basi nasahau mpaka password yangu ya JF. Jamani mtauwa halaf mazikoni msihuzurie

Angalia mada kesi zisichukue mkondo wake nitaondoa miguu kwa manufaa yako.
 
usiondoe aisee, hapa kijijini kwetu ukifa kwa ajili ya mwanamke kaburi lako wanaliandika "mtakatifu".

Klorokwin u have made my day yaani nimecheka mpaka dah hicho kijiji nitakitembelea siku moja nichukue sensa ya maandiko makaburi.
 
Back
Top Bottom