Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,884
Honey, usije ukanikonfyuzi na hawa ma tablets wengine tafazali. Si unaskia washatumia jina la pharmacy kumtongozea Lily flower?
wewe huna neno, wenye utata ni hao dawa wengine, halafu nadhani ni wakina dawa za magonjwa ya milipuko hao