Asprin, Krolokwin, Fellow Tablet, Quinine.....

dah! sorry kamanda nilikuwa press conference kuelezea umuhimu wa mirungi kwa jamii. Mimi naona location, Dispensary inaweza ikafaa lakini acha tumsubirie fellow tablet aspirin amwage razi pia kabla kufikia konklusion, Katiba ya tablets inahimiza sana maamuzi ya pamoja.

vidumu vidonge! vidumuuuuuu!
condomz ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!

Mai Felo tableti, kabla hujaingia mkenge kama ule ulioingia fesibuku? umeshaulizia hii Fello Tablet inatibu jinsia ipi? Tusije tukaiweka wodi ya watoto tukajikuta tunakabiliwa na kesi ya ubakaji.

Hiyo kazi nakuachia mwenyekiti, katibu wa vidonge nachonga penseli kwa ajili ya kuandika minitsi.
 
nyie mnatusumbua hivi...ngojeni tu....hapa naanza kuchambua taratibu ni nani hayupo jukwaani leo......nitawajua tu
 
Aisee hii single mpya ya mitu toka kongo FM Academia imepakuliwa katika studio ipi?
heheh hizi ni tablet mpya,
Prescription:sugar coated, kutwa mara tatu, ukifa mungu kaandika.
Side effect: kulegea viungo vya uzazi, kucheka cheka na screen ya laptop, kunusa nusa soksi chafu ovyo.
 
dah! sorry kamanda nilikuwa press conference kuelezea umuhimu wa mirungi kwa jamii. Mimi naona location, Dispensary inaweza ikafaa lakini acha tumsubirie fellow tablet aspirin amwage razi pia kabla kufikia konklusion, Katiba ya tablets inahimiza sana maamuzi ya pamoja.

vidumu vidonge! vidumuuuuuu!
condomz ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!

Pole na majukumu Kamanda lakini mimi na TF, Fellow Tablet tulikuwa pamoja hapa kuliendeleza hili libeneke naona itakuwa poa sana kwa kuwa umetia timu
Disipensari gani kamanda hizi za kata au .... maana
 
Mai Felo tableti, kabla hujaingia mkenge kama ule ulioingia fesibuku? umeshaulizia hii Fello Tablet inatibu jinsia ipi? Tusije tukaiweka wodi ya watoto tukajikuta tunakabiliwa na kesi ya ubakaji.

Hiyo kazi nakuachia mwenyekiti, katibu wa vidonge nachonga penseli kwa ajili ya kuandika minitsi.
Khaaaa! hapo red, Keko wenyewe juzi wamempa ujauzito mwanaume. acha tuandae kamati ya kutatua huu utata.
 
Pole na majukumu Kamanda lakini mimi na TF, Fellow Tablet tulikuwa pamoja hapa kuliendeleza hili libeneke naona itakuwa poa sana kwa kuwa umetia timu
Disipensari gani kamanda hizi za kata au .... maana
hizo hizo za tandale, wagonjwa wenyewe humu usione hayo mashauzi mengi, wengi wao wanapatikana uwanja wa fisi. ni mikwala ya keyboard tu hii.
 
nyie mnatusumbua hivi...ngojeni tu....hapa naanza kuchambua taratibu ni nani hayupo jukwaani leo......nitawajua tu

We waache tu wanatuvuruga akili kweli, hivi TF mbona leo haonekani kulikoni??
 
dah! yaani dawa zimeingia sokoni leo tayari zimesababisha maafa. khaaa! ujifungue salama mama

hahaa haaaa, natafuta location kamanda yaani ile ya Disipensari sijaikubali kabisa.. maana disipensari zenyewe za kata
 
Honey, usije ukanikonfyuzi na hawa ma tablets wengine tafazali. Si unaskia washatumia jina la pharmacy kumtongozea Lily flower?

aka mimi hata sijampiga sound huyo Lily Flower labda wale tablets wengine
 
Back
Top Bottom