Asprin, Krolokwin, Fellow Tablet, Quinine.....

kamata wadi ya akina mama, bado haijajaa

hakikisha wanakutunza mbali na watoto, joto kali, mwanga na unyevu!!:dance::dance::dance::dance:

you mean Maternity ward? nahisi hiyo location inatumiwa na ma tablet wengine Asprin au krolokwin
 
Ni vijimambo na vipo daily mkuu..
vipi ile kampeni ya Groan imekufa au ipo? nataka kuhamsisha hebu nipe update

Mkuu ile kampeni bado haijakufa....kamoyo kananiuma hasa ninapokutana na post zinazostahili Groan......waungwana wanachelewesha.....

Status yake mpaka sasa ni kama ifuatavyo....



V
iew Poll Results: Je Groan/Deslike Iwepo JF?

Voters71.
Ndio/Yes 41 57.75%
Hapana/No 27 38.03% Sijui/ I do not know 3 4.23%


 
:tonguez:

Hizi ID mbona naona manyota nyota tu na mafua yanabana......khaaaaa!!!





Au mlipigiana simu mje msajili ID hizi wakati mmoja??

mmmmh, let me not be more inquisitive.....
, karibu mwaya na kama unataka location we jiendee zako Gynecology Center

Huyu ni mtu mmoja,kaja na ID mbili afu ana comment as if ni watu wawili tofauti,..
kazi unayo hata hujui kazi ya ID mbili,...
Mimi ID yangu nyingine huwezi jua kama ni speaker,...
 
Huyu ni mtu mmoja,kaja na ID mbili afu ana comment as if ni watu wawili tofauti,..
kazi unayo hata hujui kazi ya ID mbili,...
Mimi ID yangu nyingine huwezi jua kama ni speaker,...

Ngoja ule Ban ile Nyingine iiibuke!
 
......no, no, we dont die; yes, we multiply
come around and swing with dem drugs

huu ni mpango kazi tosha kukomesha vijidudu vidogovidogo
 
avatar43994_1.gif


avatar43960_1.gif


avatar43989_1.gif


:mimba:
 
Back
Top Bottom