Sijashangaa kulewa
Nimeshangaa katikati ya wiki, kama ni kweli
Ina makombo na shombo!
Tumia hela ikuzoee wewe! Yaani kata mayi kufashi ya kinshansa! Kama hela ya mawazo bora uache kabisa kunywa labda Mungu atakuona. Leo nikupe ofa?
Ofa kati kati ya wiki siitako lol
Nina nidhamu na pombe siku za kazi sana.
:gossip:( am more into weed kuliko pombe)
Hehehe, bora ukatae manake ukirudisha change nikakuona bill yote utalipa wewe. Na mie nakunywa whisky, maji ya ilala naogopa kitambi.
Si nimekununulia maziwa asubuhi na supu nikakuachia kabla sijaenda kaziniMwanaume mubaya wewe tulikuwa wote halafu unaniuliza hapa mwone kwanza
Dena Amsi kuna mtu naona anauliza uliza habari zako sijui ana interest gani na wewe. Hajui wewe ni muke ya mhe sana Mr Rocky
Ngoja nitafute namna ya kumpiga ban asipatikane kabisa
Hiyo mutu inatwa Nicas Mtei