ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Unamaanisha kibabu kipi?Kizee kikorofi sana hiki afadhali leo kimewezwa
Wamekuingiza chaka mpwa.....Kumbe huyo ndio babu Asprin
Ish.... hata wewe unaingizwa chaka na hutu tutoto twa praimare za St. Mtakatifu??Atanieleza huyu mtoto ni wa nani, watoto wa wake wenzangu wote nawajua na hatuna wa kubeba mgongoni.
Kadanganye watoto.....Hahaha ndo huyohuyo!!!!!
Ntakuchapa!!!HahHa hata kazini hajaenda zam yake
Acha umbea....
Ndicho uichotaka???Hahaha tobaa!! Bifu!!!
We dogo kaa kimya!!Zamu yake iwe mwezi kabisa
Thubutuuuu!!Weee kawa mpole bibi kagoma hapo hata kwenye michepuko haendi
Waambie mama..... Kongosho semaaaa..semaaaaaa usiogope semaaaaa..Tangu tuanza kulea hajawahi beba mtoto, wa jirani ndio abebe mgongoni?
Kama ni limbwata leo litatoka.
Kilichokuchekesha sasa hapo ni nini kama si umbea??Kumbe ndo babu yuko hivyo?Hapa jamvini mjanjaaa kumbe nyumbani ni yaya!!!!hahahahaha
Naenda Arusha kukununulia mawililazima bomu lilipuke
:cool2::couch2::couch2:hutu tubinti twa siku hizi hutuoni? Kina miss neddy, miss chagga, ICHANA, masai dada Heaven on Earth......lol
Ask him yooooooooooo..... Igweeeeeee!!!Tangu lini mnazaa na apetaiza?
KIkombe alichonipa baba, sitakinywa??Ndo ishakuwa main course....lol
Na hili ndilo Neno la Mungu!!!!maharage ni sehemu ya main course lakini yakiwa peke yake kamwe si lolote.
Bila mie, BADILI TABIA cacico hakuna main course hapo.
Nani kakudanganya???
Unamaanisha kibabu kipi?
Wamekuingiza chaka mpwa.....
Ish.... hata wewe unaingizwa chaka na hutu tutoto twa praimare za St. Mtakatifu??
Kadanganye watoto.....
Ntakuchapa!!!
Acha umbea....
Ndicho uichotaka???
We dogo kaa kimya!!
Thubutuuuu!!
Waambie mama..... Kongosho semaaaa..semaaaaaa usiogope semaaaaa..
Mimi ODM siogopi michepuko semaaaaaaa!!!
Kilichokuchekesha sasa hapo ni nini kama si umbea??
Naenda Arusha kukununulia mawili
:cool2::couch2::couch2:
Ask him yooooooooooo..... Igweeeeeee!!!
KIkombe alichonipa baba, sitakinywa??
Na hili ndilo Neno la Mungu!!!!
Sredi Klozd!!!
Toa ushahidi.asprin asprin asprin asprin asprin asprin kumbuka atakayeongeza ama kupunguza maneno ya kitabu cha Mungu atahukumiwa shauriro nimenawa mikono yangu mie
Hahahaha, huyo aliebebwa ni kan'tangaze
Weeeeee!!!!! Kan'tangaze yupiiiiii?????