hehee!!!
Hehehe jirani yenu hana mwana mdogo?
INAONEKANA WEWE wakishua sana dah.....Nataka kuna siku nijaribu kumbeba mtoto angu kama hivi lol ila naogopa kumuangusha hivi nipeni tips basi
hujui kama kuna mbeleko za kidigitali ?
hujui kama kuna mbeleko za kidigitali ?
dah>.ndo maana mitoto mingi haina akili.ukifanasisha nasisi tulio bebwa na mbeleko ya kanga,kufungwa nepii za kanga za mama zilizo choka wao wanatumia pimpers.bebiwoka yetu ya mbao kwa fundi seremara wao spcl hahaha
Atanieleza huyu mtoto ni wa nani, watoto wa wake wenzangu wote nawajua na hatuna wa kubeba mgongoni.
hutu tubinti twa siku hizi hutuoni? Kina miss neddy, miss chagga, ICHANA, masai dada Heaven on Earth......lol
Tangu lini mnazaa na apetaiza?
Ndo ishakuwa main course....lol