Aslay ni Mwanamuziki Bora wa Bongofleva 2017

Aslay ni Mwanamuziki Bora wa Bongofleva 2017

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,086
Wadau huyu bwana mdogo Aslay anaonekana anafaa kuwa Mwanamuziki Bora wa Bongofleva hapa nchini kwa mwaka 2017.
Maoni yenu ni muhimu
 
Hapana mi nadhani 'kimbunga mchawi' ndio bora kuliko wote. Than ndio anafuata Aslay
 
Mkiacha kuwaza mapenzi mtaanza kuwaza vitu vya msingi kabisa!!. Mapenzi hayajaanza leo hapo kipya nini?
 
Nyimbo zote za Aslay hakuna kali kama sikinai ya beka flavour hivo nasema aslay boya tu nyimbo nyingi kali hamna siungi mkono
 
Amejitahidi anastahili Hongera!
Talent ipo no doubt halazimishi kazi ya muziki kama walio wengi!
At that age akipata management nzuri, akapikwa vizuri, have his own originality, creativity and identity na akawa na nidhamu ya kazi yake we might have our own Yossou Ndour!
All the Best Aslay!
 
Back
Top Bottom