Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,325
- 62,202
Mtumishi wa mungu kuwa muongo kama huyo padre ni aibu kwa kanisaMwisho wa siku Padre naye ni binadamu. Kwa hiyo hata sishangai akipitia changamoto kama hiyo.
Mtumishi wa mungu kuwa muongo kama huyo padre ni aibu kwa kanisaMwisho wa siku Padre naye ni binadamu. Kwa hiyo hata sishangai akipitia changamoto kama hiyo.
Shida kwa baadhi ya walimwengu ni kufikiri Mapadre, Watawa, Maaskofu wa Katoliki ni Malaika! Na siyo binadamu wenye udhaifu kama walivyo binadamu wengine.Mtumishi wa mungu kuwa muongo kama huyo padre ni aibu kwa kanisa
Waumini wanaamini ma padre ni malaika ndo maana polisi walivyosema padre katoa taarifa za uongo kila mtu akawa anabisha wakiamini ni malaika , haya sasa wamekiri kuwa kazinguaShida kwa baadhi ya walimwengu ni kufikiri Mapadre, Watawa, Maaskofu wa Katoliki ni Malaika! Na siyo binadamu wenye udhaifu kama walivyo binadamu wengine.
NB: Kanisa haliwezi kupata aibu kwa sababu ya udhaifu wa kibinadamu wa Padre wake mmoja! Kanisa Katoliki ni taasisi yenye waumini bilioni kadhaa kote duniani!
Waumini wa wapi wanaoamini Mapadre ni malaika? Mbona mimi ni muumini wa Katoliki, na kwenye maoni yangu ya jana nilisema wazi tumewasika polisi! Ni wakati pia wa kusikia na upande wa pili ili ukweli halisi ujulikane! Je, Kwenye hayo maelezo yangu yanaonesha ninawaamini zaidi mapadre?Waumini wanaamini ma padre ni malaika ndo maana polisi walivyosema padre katoa taarifa za uongo kila mtu akawa anabisha wakiamini ni malaika , haya sasa wamekiri kuwa kazingua
Binafsi ninayo mashaka na kamanda wa polisi.Mmh hii ngoma inapoendea sio poa.
Soma maoni ya waumini wenzako kwenye uzi huu huuWaumini wa wapi wanaoamini Mapadre ni malaika? Mbona mimi ni muumini wa Katoliki, na kwenye maoni yangu ya jana nilisema wazi tumewasika polisi! Ni wakati pia wa kusikia na upande wa pili ili ukweli halisi ujulikane! Je, Kwenye hayo maelezo yangu yanaonesha ninawaamini zaidi mapadre?
Basi kwenye maelezo yako unatakiwa useme "baadhi ya waumini wanaamini....." Na siyo "waumini wanaamini...."!!Soma maoni ya waumini wenzako kwenye uzi huu huu
Huenda ni kweli, maana huwa hawakosi sababu za kijinga zisizo na maana wala msingi wa aina yoyote.
Vip hiyo bado Embu leta mrejesho
Yote ameacha ila hataacha kucheza wowowo lakoMwambieni padre aache kamari tabia za kucheza kamari na kukimbia madeni alafu kusingizia ametekwa ataishia jela.
Tangu Papa Francis aruhusu wanaume muolewe naona unapenda sana kuchezewa wowowoYote ameacha ila hataacha kucheza wowowo lako
Polisi ni kazi ya laana.Vincent Cosmas Mwagala, Askofu wa Jimbo Katoliki la Mafinga “Mafingensis" atazungumza na vyombo vya habari, kesho, 30.09.2025 saa 4 asubuhi na kutoa taarifa mintaarafu kuhusu Padre Jordan Kibiki
24.09.2025 Kamanda wa Polisi (RPC) Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi aliwaeleza waandishi wa habari kwamba kwa mujibu wa uchunguzi wao, walibaini Padre Jordan Kibiki alijiteka kwa kuwa alizidiwa na madeni.
Kwamba, Padre Jordan Kibiki wa kanisa Katoliki Jimbo la Mafinga hakutekwa na kupotea kama ilivyoelezwa. Bali alitoa taarifa za uongo kupitia WhatsApp akidai ametekwa na kusafirishwa kwenda Mbeya.
Kamanda wa Polisi (RPC) Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi alisema baada ya uchunguzi wa polisi alikutwa Mbalizi, Mbeya. Padre Jordan Kibiki ni padre katika Kanisa la Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni, Mafinga..
Polisi walimkata na kumshikilia Padre Jordan Kibiki. Polisi wakamuhoji kwa tuhuma za kuchapisha na kusambaza taarifa za uongo kupitia mitandao ya kijamii. Polisi wakasema watamfikisha Mahakamani..
Kwa kuwa polisi wametoa taarifa yao wakikanusha taarifa ya Padre Jordan Kibiki, kesho ni zamu ya kusikiliza taarifa ya Kanisa Jimbo Katoliki la Mafinga. Tusikie, ni kweli Padre Jordan Kibiki ALIJITEKA au ALITEKWA.
==
Pia soma >>>GE2025 - Polisi: Padre aliyedai ametekwa, hakutekwa. Alisafiri mwenyewe kwa basi na kwenda Mbeya
View attachment 3480903
We umeolewa na nani mrembo Mwana TANU mzalendoTangu Papa Francis aruhusu wanaume muolewe naona unapenda sana kuchezewa wowowo
Mimi siyo mfuasi wa kristo wewe ndo uweke wazi nani anakukaza baada ya marehemu Papa Francis kukuruhusu muoane jinsia mojaWe umeolewa na nani mrembo Mwana TANU mzalendo
Hivi marehemu mwamedi kwanini alioa katoto la miaka9?!Mimi siyo mfuasi wa kristo wewe ndo uweke wazi nani anakukaza baada ya marehemu Papa Francis kukuruhusu muoane jinsia mojaView attachment 3481447
Humu jamii forums hatuna cha kukusaidia labda nenda huko Kwa warabu wakufanye chakulaMimi siyo mfuasi wa kristo wewe ndo uweke wazi nani anakukaza baada ya marehemu Papa Francis kukuruhusu muoane jinsia moja
Nàkuelewa hali unayopitia Mwana TANUMimi siyo mfuasi wa kristo wewe ndo uweke wazi nani anakukaza baada ya marehemu Papa Francis kukuruhusu muoane jinsia mojaView attachment 3481447
Kwasababu ni mwanaume kamili hajaleft grp kama wewe ulieruhusiwa kuolewa na mwanaume mwenzako na Papa FrancisHivi marehemu mwamedi kwanini alioa katoto la miaka9?!
wewe no unaweza kuwa chakula kwa amri na maelekezo ya marehemu Papa francisHumu jamii forums hatuna cha kukusaidia labda nenda huko Kwa warabu wakufanye chakula