Askofu wa angilikana Dodoma G.M.Mhogolo ametwaliwa mbinguni

Askofu wa angilikana Dodoma G.M.Mhogolo ametwaliwa mbinguni

Mkulima wa Kuku

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
1,270
Reaction score
536
Wapendwa habari za uhakika ni kuwa Askofu Godfrey Mdimi Mhogolo wa Kanisa la Anglikana Tanzania Dayosisi ya Kati Dodoma amefariki leo saa 5:00 asubuhi huko Afrika ya Kusini alikokuwa amepelekwa kwa matibabu.

Atakumbukwa kwa umahiri wake wa kusimamia hoja zake kwenye vikao na kuwa askofu wa Dayosisi hii kwa miaka mingi.

Taarifa zaidi zitawajia baadaye.
 
Mod, hii siyo tetesi hizi habari ni confirmed toka vyanzo halisi vya kikanisa...mimi niliweka kwenye Habari na hoja mchanganyiko nashangaa mmeuweka uzi huu kwenye Tetesi!
 
Mwenyezi mungu amplaze panapostahili.....!!!! Hili pepo la mauti linawafuata hadi maaskofu...???
 
Alazwe mahari pabaya kabisa motoni kwa kukataa kwake haki na kuukubali ukafiri kuwa dira yake
 
Du R.I.P. Mhogolo
namkumbuka kwa mengi
moja kuu ni lile
  • Alipohojiwa na Marehemu Ngahyoma wa BBC kuhusu USHOGA kuingia Anglicana Duniani ALITETEA SANA HII KITU NA HAKURUDI NYUMA
  • Kung'ang'ania miradi ya Kanisa Anglican (Central Tanganyika) na kuwasahau wazawa sijui kwa vile alioa mzungu
  • ujaza ndugu kibao, Anglican, Mackay, DCT, Bookshop na kwingineko
Kweli lililo na mwanzo lina mwisho
 
Back
Top Bottom