kurutu wa opp malela
Member
- Dec 25, 2016
- 63
- 83
Amesema serikali imesitisha ajira mpaka sasa watanzania wengi walia walalamika kusitishwa kwa ajira serikali haitaki kusema ukweli alisema shoo hali ya umasikini yatanda yawa mbaya kuliko vipindi vyote vya uongozi watumishi wa umma wanaogopa kutumbuliwa awahasa kuendelea kusema ukweli asema watanzania walilia mikopo elimu ya juu asema serikali haina hofu ya mungu askofu shoo alisema viongozi wengi wamekuwa wakitoa ahadi na maneno ya uongo kwa wananchi bila utekelezaji alisema huko si kuwadanganya wananchi ni kumdanganya mungu wao alisema uongozi ni mpito baada ya uongozi kuna maisha ambayo mungu Pekee ndoo atakuwa shujaa na kiongozi amewataka viongozi kuwa na hofu ya mungu
