Askofu Shoo asema kusitishwa kwa ajira kumewaliza watanzania na umasikini umetanda kila kona

Nilikua nimedhamiria kutumia maneno ya Kadinali Pengo kama ngao ya kutoenda kanisani.

Naona maneno ya Askofu Shoo yamekuja kunijaribu ngoja nione Pengo atafanyaje halafu nitajua nifanye nini.
Huu ni uji..nga uliogandamana kwa vichwa maji,nimesoma nikamaliza nikiwa najua serikali haiajiri kwa watu wa kada zetu japp ni sayansi,darasa zima tulimezwa na private sector na mshahara wa serikali unaingia mara mbili na kitu kwenye mshahara wangu...siwazi na wala starajii kuingia serikalini nikitoka huku nilipo nafabya mambo yangu tu
 
Ni kosa kubwa sana kuwa na uandishi mbovu kuwasilisha mambo ya msingi. Mkuu jaribu kuandika vzr coz unatukosesha content nzur km hyo
 
Huu ni uji..nga uliogandamana kwa vichwa maji,nimesoma nikamaliza nikiwa najua serikali haiajiri kwa watu wa kada zetu japp ni sayansi,darasa zima tulimezwa na private sector na mshahara wa serikali unaingia mara mbili na kitu kwenye mshahara wangu...siwazi na wala starajii kuingia serikalini nikitoka huku nilipo nafabya mambo yangu tu
Ingawa umeniquote na kupost ishu ambayo haiendani na nilichopost ngoja nikujibu.

Katika nchi yoyote Serikali ndiyo mwajiri mkubwa watu wakisema serikali haiajiri ni kutokana na hiyo fact.

Private wanalipa sana kwakua serikali wanaweza ajiri madereva 3 kwenye gari moja private dereva mmoja atafanya ya watu 3 hivyo atafanya kazi ya 3 na mshahara utalingana na madereva 3 wa serikalini.

Private entities zingine hazitoi allowances za matibabu hivyo wanakujumlishia humo humo.
 
Awamu hii serikali ina kitu cha kujivunia kurudisha NIDHAMU kienyeji ofisi zao. Lakini kwa ishu ya ajira wamechemka Sana.. Wanafanya vijana wazidi kuwa tegemezi.. Na ndipo Umaskini unaanzia hapo tena

Takwimu zinaonesha kwamba zaidi ya asilimi 25 ya Watanzania ni vijana wenye uwezo wa kufanya kazi....maana yake kuna nguvu kazi ya vijana takriban milioni 10. Kati ya hao, wapo walipo kwenye ajira Serikalini na sekta binafsi, wapo waliopo kwenye majeshi, wapo waliojiajiri kwenye kilimo,uvuvi na biashara... For the sake of argument, tukisema asilimia 20 ya vijana hao bado wanatafuta ajira (maana yake ni vijana milioni 2) iweje leo tupige makelele meeeengi eti serikali mwaka huu imechelewa kuajiri vijana 71,000? Yaani hao vijana 71,000 wana thamani kubwa kuliko vijana milioni 1,930,000?

Hatua zinazochukuliwa na serikali hivi sasa zina lengo la kuzalisha ajira nyingi zaidi kwa ajili ya bijana wengi zaidi...mradi wa ujenzi wa Reli ya Kati utatoa ajira kwa maelfu ya vijana, viwanda mbalimbali vinavyojengwa na vitakavyoendelea kujengwa vitatoa ajira kwa malaki ya vijana.

Wiki iliyopita nilipost taarifa ya Kiwanda kipya kinachojengwa Morogoro kitakachozalisha ajira 5000 kikikamilika. Ajabu hakuna mtu hata mmoja aliyetaka kujua, ajira hizo zitaanza kutolewa lini? anayetafuta ajira akamuone nani? qualification zipi zinatakiwa......zaidi wachangiaji wachache waliojitokeza walikuwa wanaponda tu, na kuzua ubishi wa mijadala isiyo na tija kama vile....bidhaa zitakazotengenezwa feki etc Na mwishowe Mods wakaiondoa post hiyo kwenye Jukwaa la siasa.....ikionyesha kwamba there is less interest in concrete news zenye kusaidia watu, sana sana negative news ndio zinazoshabikiwa. Mungu Ibariki Tanzania
 
Ile safari ya juzi ya Magufuli kumtembelea Pengo na kumpa pole sijui ya nani ,ina uwalakini fulani ,inawezekana Pengo aliambiwa aseme nini

Hali mtaani ni mbaya halafu Pengo anaongea vitu visivyo eleweka eti awamu hii maisha yamekuwa nafuu sana ,hivi huyo Pengo si analishwa ,kuvishwa ,malazi na mengineyo ? Aseme awamu imekua nafuu kwake sio kukejeli Watanzania
 
Pengo nadhani Hana ukaribu na wananchi Wa kawaida,anakaa parokiani na kupewa kilakitu. Mapadre wajifunze kutembelea wenyeshida hasa vijijini ili watoe kauli zilizonyooka. Pole Pengo watu hawakuelewi
 
Amesema serikali imesitisha ajira mpaka sasa watanzania wengi walia walalamika kusitishwa kwa ajira serikali haitaki kusema ukweli alisema shoo hali ya umasikini yatanda yawa mbaya kuliko vipindi vyote vya uongozi watumishi wa umma wanaogopa kutumbuliwa awahasa kuendelea kusema ukweli asema watanzania walilia mikopo elimu ya juu asema serikali haina hofu ya mungu askofu shoo alisema viongozi wengi wamekuwa wakitoa ahadi na maneno ya uongo kwa wananchi bila utekelezaji alisema huko si kuwadanganya wananchi ni kumdanganya mungu wao alisema uongozi ni mpito baada ya uongozi kuna maisha ambayo mungu Pekee ndoo atakuwa shujaa na kiongozi amewataka viongozi kuwa na hofu ya mungu
8b99aacd40c6dc2c55cc3a3ab183ef88.jpg
Hawa ndiyo maaskofu tunaowataka.
 
Wiki iliyopita nilipost taarifa ya Kiwanda kipya kinachojengwa Morogoro kitakachozalisha ajira 5000 kikikamilika. Ajabu hakuna mtu hata mmoja aliyetaka kujua, ajira hizo zitaanza kutolewa lini? anayetafuta ajira akamuone nani? qualification zipi zinatakiwa......zaidi wachangiaji wachache waliojitokeza walikuwa wanaponda tu, na kuzua ubishi wa mijadala isiyo na tija kama vile....bidhaa zitakazotengenezwa feki etc Na mwishowe Mods wakaiondoa post hiyo kwenye Jukwaa la siasa.....ikionyesha kwamba there is less interest in concrete news zenye kusaidia watu, sana sana negative news ndio zinazoshabikiwa. Mungu Ibariki Tanzania
Hamna kipindi namuelewa mtu akisema ajira hakuna kama kipindi hiki, kipindi nasoma ilikua unaambiwa ajira hakuna lakini ukiingia website ya utumishi unakuta posts hivyo nilikua naconclude kua ajira zipo ila kwa wale wenye vigezo anayesema hakuna ni kwakua hana vigezo.
Sasa hivi mwenye vigezo na asiye na vigezo wote tunasema ajira hakuna, website ya utumishi haijawahi kuweka posts zozote za ajira kwa zaidi ya miezi sita. Nilienda kuomba kujitolea halmashauri fulani nikaambiwa hizo nafasi hakuna siku hizi, nikatuma maombi private entities hakuna iliyojibu, hii nikiwa narefer hata kwa niliomaliza nao na hawakuwa inservice wote kuna waya tunaupitia.

Uzi wako binafsi sikuuona lakini hata hivyo usingeuweka kwenye jukwaa la siasa nahisi ndiyo maana umetolewa hapo ulipo.
 
Back
Top Bottom