Askofu Shoo asema kusitishwa kwa ajira kumewaliza watanzania na umasikini umetanda kila kona

Pengo hana watoto hana mke hana kimada analala bure halipi rent anakula bure halipi umeme halipi ada ya watoto hana pressure sadaka watu wanatoa tu but shoo anajua maisha ana watoto analipa karo ananunua chakula anaöipa umeme na anatumia mshahara wake kwa maisha yake anapiga budgeti kama ss huyo ndio mwenzetu wa kumsikiliza Pengo hata mchakato wa katibampya alichangia kuharibu mi nasema maaskofu wa KKKT wawe wazi pia kupigania nafasi kwa walutheri mkisema mdini shauri yenu unganeni maaskofu KKKT na pentecostal churches nchi nzima siyo daily pengo tu we are tired with pengo seen seen as head of allchristian
 
swali la kizushi.. wewe unatengeneza hiyo milion moja au laki moja kwa siku??

Salaam...
Samahani chief naomba kutofautiana na wewe katika hili...

Tanzania ni nchi ambayo ina fursa saana ingawa market au niseme purchasing power yetu sisi wa Tanzania ni ndogo saana lakini haizuii fursa nyingi zilizopo Tanzania...

Tanzania ni nchi ambayo mtu akiacha kulalamika anaweza kutengeneza atleast laki moja hadi Million moja kwa siku...
Laki moja kwa biashara mpya na ukikomaa zaidi na kuwa makini na kuweka malengo uka hakikisha una kuwa reliable na responsible in a year time unaweza kutengeneza 1Million a day trust me...


A lot to do In Tanzania ni nchi ambayo imebarikiwa saaana except sisi wenyewe sijui binafsi namuomba Mungu Juu ya Mabadiliko ya mitazamo ya miongoni mwetu wa Tanzania na tuanze kumsaka Elimu kwa kila namna ....


Samahani kwa kutofautiana
 
Hongera naona ww ni mfuta mvumbi wa Lumumba. Km usingenijibu ku..nya kwa kumtetea malaika wenu mkuu sidhan km tungefika hapa. Kakojoe ukalale, kesho uende unakoenda
Povu!majibu yako yanaonesha ulivyo mtoto na hujafunzwa na wazazi wako.purely bavichan
 
nakumbuka mwaka 2013 waalimu na hawakuajiriwa ,walikuja kuunganishwa na wa mwaka 2014, mbona hakulalamika au kwa kuwa SADAKA ILIKUWA INAONGEZEKA TU,na kwa sasa kapu limepungua kidogo tu ameshaanza kubweka
 
nakumbuka mwaka 2013 waalimu na hawakuajiriwa ,walikuja kuunganishwa na wa mwaka 2014, mbona hakulalamika au kwa kuwa SADAKA ILIKUWA INAONGEZEKA TU,na kwa sasa kapu limepungua kidogo tu ameshaanza kubweka
Mwaka 2013 ajira zilitangazwa Februari watu waliwasili vituoni mwezi Machi 2013.
Mwaka 2014 ajira zilitangazwa Machi watu waliwasili vituoni mwezi Aprili 2014.
Hivyo, hilo suala ka kuunganishwa kama unavyodai kwa mujibu wa kumbukumbu zako si kweli.
 
Povu!majibu yako yanaonesha ulivyo mtoto na hujafunzwa na wazazi wako.purely bavichan
Hongera yako ww unayejiita ssm tena mzee. Mm bado ni mtoto ningefikisha umri km wako wala nisingeng'ang'ania kuwepo humu JF. Mm wala sina chama ndugu yangu. Km unavyofikiri.MM NI MWANAHARAKATI. Km ww ulifunzwa na wazaz ikawaje ukaniquote tena kwa matusi? Wala siwez kukushangaa sbb ww ulilelewa na wazazi lkn mi.mba yako ilitungwa gu.est h.ouse
 
Kwa sasa taifa linaelekea kujitegemea. Serikali inategemea makusanyo ya TRA ya kila mwezi, badala ya handouts za wahisani, kuendesha nchi. Hali hii ni tofauti na zamani serikali ilipokuwa ikitegemea zaidi pesa za wahisani. Kujitegemea ni gharama, ingawa ni heshima pia. Shoo anaweza kuendelea na show-casing ila ukweli ni kuwa we are on the right track and correct policy bearing. Na katika hili, hatuwezi kushangaa Malasusa kutokukubaliana na Shoo.
 
Nanukuu "na serikali haitaki kusema ukweli"...hili swala la ajira Askofu anataka kusema kuwa kuna uongo gani tunaambiwa?
 
Mie nafanya biashara, mzunguko wa pesa ni mdogo sana..nina mashaka sana na figure za TRA za makusanyo ya kila mwisho wa mwezi, wana cook data. Hali ni mbaya sana..

Unavuka lengo unaenda kukopa bilioni 360 TRA sijui hata kama bilioni mia saba kama wanafikisha
 
Takwimu zinaonesha kwamba zaidi ya asilimi 25 ya Watanzania ni vijana wenye uwezo wa kufanya kazi....maana yake kuna nguvu kazi ya vijana takriban milioni 10. Kati ya hao, wapo walipo kwenye ajira Serikalini na sekta binafsi, wapo waliopo kwenye majeshi, wapo waliojiajiri kwenye kilimo,uvuvi na biashara... For the sake of argument, tukisema asilimia 20 ya vijana hao bado wanatafuta ajira (maana yake ni vijana milioni 2) iweje leo tupige makelele meeeengi eti serikali mwaka huu imechelewa kuajiri vijana 71,000? Yaani hao vijana 71,000 wana thamani kubwa kuliko vijana milioni 1,930,000?

Hatua zinazochukuliwa na serikali hivi sasa zina lengo la kuzalisha ajira nyingi zaidi kwa ajili ya bijana wengi zaidi...mradi wa ujenzi wa Reli ya Kati utatoa ajira kwa maelfu ya vijana, viwanda mbalimbali vinavyojengwa na vitakavyoendelea kujengwa vitatoa ajira kwa malaki ya vijana.

Wiki iliyopita nilipost taarifa ya Kiwanda kipya kinachojengwa Morogoro kitakachozalisha ajira 5000 kikikamilika. Ajabu hakuna mtu hata mmoja aliyetaka kujua, ajira hizo zitaanza kutolewa lini? anayetafuta ajira akamuone nani? qualification zipi zinatakiwa......zaidi wachangiaji wachache waliojitokeza walikuwa wanaponda tu, na kuzua ubishi wa mijadala isiyo na tija kama vile....bidhaa zitakazotengenezwa feki etc Na mwishowe Mods wakaiondoa post hiyo kwenye Jukwaa la siasa.....ikionyesha kwamba there is less interest in concrete news zenye kusaidia watu, sana sana negative news ndio zinazoshabikiwa. Mungu Ibariki Tanzania
AMA kweli kila mbuzi hula urefu wa kamba yake! Watanzania wana sifa moja kuu ya kuona kwa ufinyu. Hivyo hamna habari watu wengi wamepoteza ajira kwenye sekta binafsi kwa sababu ya mdororo wa uchumi? Na kwa vile sitegemei mabadiliko hivi karibu wengi wataendelea kupoteza ajira na waliojiajiri kufunga biashara zao.
 
Back
Top Bottom