Askofu Shoo afichua makucha yake: Je, bado hajatubia?

kibokomchapaji

Senior Member
Joined
Aug 18, 2017
Posts
165
Reaction score
307
Leo Askofu Shoo ametoa salamu za sikukuu ya Krismas na kuongea maneno yanayofanya watu wakumbuke mbinu alizotumia kuingia kwenye madaraka aliyonayo.

Amesema watu wanaotenda vitendo visivyofaa wamrejee Mungu. Pia amesema wanaoteswa (akimaanisha waokamatwa kwa makosa ya kukashifu n.k) kwamba Mungu atawainua.

Askofu huyu alimchafua sana aliyekuwa Askofu Mkuu wa KKKT, Dr. Alex Malasusa akidai Malasusa ni fisadi, mla rushwa, mzinzi na maovu mengine lukuki. Je, ameshatubia?

Alipofanikiwa kumchafua, akaupata Uaskofu Mkuu wa kanisa hilo hivyo anawatia moyo wanaoikashifu serikali kwamba watapata madaraka kama alivyopata yeye.

Salamu zake hizo zinafananishwa na matamshi ya kichochezi yaliyotolewa na Maaskofu mbalimbali huko Rwanda ambayo yalisababisha mauaji ya watu 800,000 huku wanawake 500,000 walibakwa.

Muovu anapopata uongozi wa kanisa, wema hugeuzwa kuwa uovu na uovu hugeuzwa kuwa wema. Laiti Yuda Eskarioti angekuwa mkuu wa kanisa, Shoo angekuwa msaidizi wake mkuu.
 
Toba ya mtu ni faragha na mungu wake anaemtumikia, mi naamini mungu wapo wengi sana na jambo jema ni kwamba kila mungu ana jina lake, wapo wanao amini kupewa wanawake sabini peponi, wapo wana amini pepo hakuna kuoa wala kuolewa ni kuimba tu, wapo wanao amini peponi ni kila mtu ana jumba la kifahari na maisha mazuri hakuna maovu utakacho unapata..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetumwa wewe, sio bure..
Leo Askofu Shoo ametoa salamu za sikukuu ya Krismas na kuongea maneno yanayofanya watu wakumbuke mbinu alizotumia kuingia kwenye madaraka aliyonayo.

Amesema watu wanaotenda vitendo visivyofaa wamrejee Mungu. Pia amesema wanaoteswa (akimaanisha waokamatwa kwa makosa ya kukashifu n.k) kwamba Mungu atawainua.

Askofu huyu alimchafua sana aliyekuwa Askofu Mkuu wa KKKT, Dr. Alex Malasusa akidai Malasusa ni fisadi, mla rushwa, mzinzi na maovu mengine lukuki. Je, ameshatubia?

Alipofanikiwa kumchafua, akaupata Uaskofu Mkuu wa kanisa hilo hivyo anawatia moyo wanaoikashifu serikali kwamba watapata madaraka kama alivyopata yeye.

Salamu zake hizo zinafananishwa na matamshi ya kichochezi yaliyotolewa na Maaskofu mbalimbali huko Rwanda ambayo yalisababisha mauaji ya watu 800,000 huku wanawake 500,000 walibakwa.

Muovu anapopata uongozi wa kanisa, wema hugeuzwa kuwa uovu na uovu hugeuzwa kuwa wema. Laiti Yuda Eskarioti angekuwa mkuu wa kanisa, Shoo angekuwa msaidizi wake mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amesema watu wanaotenda vitendo visivyofaa wamrejee Mungu. Pia amesema wanaoteswa (akimaanisha waokamatwa kwa makosa ya kukashifu n.k) kwamba Mungu atawainua.
Umeandika alichosema Askofu, nacho ndio hicho hapo juu. Kama maelezo yako ya kile alichosema ni sawa, ningependa kujua hapo pana kosa gani hadi umshambulie? Hili nalo ni tafsiri yako "akimaanisha waokamatwa kwa makosa ya kukashifu n.k" Siamini kuwa uko sawa kwani unachosema ni kwamba askofu anasema wenye makosa Mungu atawainua.
Kama yeye anakukwaza basi tuambie kakosea wapi lakini usimlishe maneno baba wa watu.
 
Leo Askofu Shoo ametoa salamu za sikukuu ya Krismas na kuongea maneno yanayofanya watu wakumbuke mbinu alizotumia kuingia kwenye madaraka aliyonayo.

Amesema watu wanaotenda vitendo visivyofaa wamrejee Mungu. Pia amesema wanaoteswa (akimaanisha waokamatwa kwa makosa ya kukashifu n.k) kwamba Mungu atawainua.

Askofu huyu alimchafua sana aliyekuwa Askofu Mkuu wa KKKT, Dr. Alex Malasusa akidai Malasusa ni fisadi, mla rushwa, mzinzi na maovu mengine lukuki. Je, ameshatubia?

Alipofanikiwa kumchafua, akaupata Uaskofu Mkuu wa kanisa hilo hivyo anawatia moyo wanaoikashifu serikali kwamba watapata madaraka kama alivyopata yeye.

Salamu zake hizo zinafananishwa na matamshi ya kichochezi yaliyotolewa na Maaskofu mbalimbali huko Rwanda ambayo yalisababisha mauaji ya watu 800,000 huku wanawake 500,000 walibakwa.

Muovu anapopata uongozi wa kanisa, wema hugeuzwa kuwa uovu na uovu hugeuzwa kuwa wema. Laiti Yuda Eskarioti angekuwa mkuu wa kanisa, Shoo angekuwa msaidizi wake mkuu.
Wewe ni akina PANGU PAKAVU TIA MCHUZI haya tumekusikia
 
Hovyooooo!
 
Hivi wewe kila ukilala na kuamka kumkashifu Dr Baba Askofu Shoo ndio uone raha
 
Hapa umekula buku 7 ya bure kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu akishindwa hoja anaanza vioja. Deal with the message not the messenger
 
KWANI MTU AKISEMA WEWE NI MZINZI NA MLA RUSHWA NA KWELI HIVYO VITU NI KWELI KOSA LIKO WAPI NA UNAFAHAMU ILIKUWAJE MPAKA ASKOFU MALASUSA AKAJIUZULU UNAKUMBUKA KIPINDI KANISA LILITOA WARAKA MALASUSA ALIPEWA NN MPAKA AKAKATAA KANISA LAKE KUUSOMA WARAKA USIKURUPUKE UKIONA KANISA HALIKUFAI TAFUTA LINGNE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujumbe was askofu kama ulivyoandika;

1. Wanaotenda maovu wamrudie Mungu
2. Wanaoteshwa watainuliwa.

Kuna tatizo gani hapo?
Uovu haujawahi kushinda haki. Mrudie Mungu, umechagua njia ya upotevuni.
 
Tangu Dr. Shoo amekua askofu mkuu wa KKKT kanisa hilo limekua sana kiimani.
Mpaka makanisa madogo madogo yanahofia kutoweka kutokana na mwamko mkubwa kiroho katika kanisa hilo.
Hayo ni mafanikio makubwa ya kiroho.
Hongera sana askofu mkuu.
Mungu yupo upande wako na Kanisa limekua na matengenezo makubwa kiroho. Tunaona kanisa linavyoshamiri . Ibada zinakua na mwamko na upako wa KRISTO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom