Usiwachukulie Samia The Killer na majambazi wake kama watu wenye akili ya kawaida. Wangekuwa na akili ya kawaida hata Father Kitima wasingemshambulia!Unasemaje hivi we unamchukuliaje askofu wa kikatoliki? Sio kitu rahisi hivyo. Serikali yenyewe inajua. Hawawezi hata kufikiria au kuwaza kumteka hata akae kibalazani peke yake usiku wa manane
CCM wako desperate kipindi hiki wanaweza kufanya chochote kile.Unasemaje hivi we unamchukuliaje askofu wa kikatoliki? Sio kitu rahisi hivyo. Serikali yenyewe inajua. Hawawezi hata kufikiria au kuwaza kumteka hata akae kibalazani peke yake usiku wa manane. Ni kuchukua tu taadhari zile za kawaida kama ajali za kusababishwa au vyakula lkn sio kutekwa.
CCM wako desperate kipindi hiki wanaweza kufanya chochote kile.Unasemaje hivi we unamchukuliaje askofu wa kikatoliki? Sio kitu rahisi hivyo. Serikali yenyewe inajua. Hawawezi hata kufikiria au kuwaza kumteka hata akae kibalazani peke yake usiku wa manane. Ni kuchukua tu taadhari zile za kawaida kama ajali za kusababishwa au vyakula lkn sio kutekwa.
Sjui kama anawajua maaskofu wa kikatoliki vizuri...ukimteka huyo ni sawa sawa umemteka papa kule Roma Italian..vita itakayokushukia ama kuishukia nchi watu watastaajabuUnasemaje hivi we unamchukuliaje askofu wa kikatoliki? Sio kitu rahisi hivyo. Serikali yenyewe inajua. Hawawezi hata kufikiria au kuwaza kumteka hata akae kibalazani peke yake usiku wa manane. Ni kuchukua tu taadhari zile za kawaida kama ajali za kusababishwa au vyakula lkn sio kutekwa.
Askofu wa Katoliki hawawezi kumteka hata angetembea usiku peke yake. CCM wanalijua hilo na watekaji wanajua pia.Usiwachukulie Samia The Killer na majambazi wake kama watu wenye akili ya kawaida. Wangekuwa na akili ya kawaida hata Father Kitima wasingemshambulia!
Watu wanajiongelea tu. Tutatekwa sie wengine lakini kwa askofu big NO.Sjui kama anawajua maaskofu wa kikatoliki vizuri...ukimteka huyo ni sawa sawa umemteka papa kule Roma Italian..vita itakayokushukia ama kuishukia nchi watu watastaajabu
HhahahaaHuyo hawawezi hata kudhubutu...
Labda watumie njia za kuweka sumu kwenye vyakula au vinywaji...
Kuteka wanaweza kuteka Wachungaji, Mapadre, na wengineo
Usifikiri watekaji hawafikirii mara mbili...japo hawana akili
Mkuu hujasikia padre hajulikani alipo kule songea kwa sasa tuna majambazi kabisa ndani ya tanganyikaUnasemaje hivi we unamchukuliaje askofu wa kikatoliki? Sio kitu rahisi hivyo. Serikali yenyewe inajua. Hawawezi hata kufikiria au kuwaza kumteka hata akae kibalazani peke yake usiku wa manane. Ni kuchukua tu taadhari zile za kawaida kama ajali za kusababishwa au vyakula lkn sio kutekwa.
Hata Mwalimu akifufuka leo na kuwa Critic wa hii serikali anaweza kutekwa.Aise cyo level ya polepole.
Hilo wanalijua wenye akili (not these idiots)!Sjui kama anawajua maaskofu wa kikatoliki vizuri...ukimteka huyo ni sawa sawa umemteka papa kule Roma Italian..vita itakayokushukia ama kuishukia nchi watu watastaajabu