Askofu Ruwai'chi chukua tahadhali

Askofu Ruwai'chi chukua tahadhali

Unasemaje hivi we unamchukuliaje askofu wa kikatoliki? Sio kitu rahisi hivyo. Serikali yenyewe inajua. Hawawezi hata kufikiria au kuwaza kumteka hata akae kibalazani peke yake usiku wa manane. Ni kuchukua tu taadhari zile za kawaida kama ajali za kusababishwa au vyakula lkn sio kutekwa.
Kitima? Kitima is a Bishop in the making! Ukimfamyia hivyo Kitima na Askofu unaweza kumfanyia hivyo
 
Sjui kama anawajua maaskofu wa kikatoliki vizuri...ukimteka huyo ni sawa sawa umemteka papa kule Roma Italian..vita itakayokushukia ama kuishukia nchi watu watastaajabu
Fr Kitima ana hadhi ya uaskofi, a Bishop in the making!
 
Back
Top Bottom