That:.........May be Gwajima was right.
Huyo pengo ni jamaa wa kitengoAwe na taarifa yy km nani wkt hana time na watz......aendelee kutumia pesa za escrow maana ndo sababu ya kiwewe alichonacho hamna jingine. Isinhekuwa mambo ya ban ningemtusi sn huyu pengo
Si ajabu na ww ni kati ya waliopungukiwa na uwezo wa kufikiri nn maana ya kaisari mpe kaisari na ya MINGU mpe MUNGU vyote hivyo alivitambua kristo yesu lkn pia kila serikali iliyopo MUNGU anaitambua na ndo maana kina nebukardineza aliwapiga baada ya kwenda kinyume na mapenzi yake lkn ni serikali nyingi tu ziliangukia pua kwa mateso ya wana wa MUNGU.Ameongea kweli. ...umeshangaa nini sasa.
Msingi wa siasa ni unafiki
Na msingi wa Dini Utakatifu.
Utakuwa uzee unamsumbua huyu askofu wenu.pengo ni shiiida, yeye haoni kama waumini wake wanakufa huku kubiti. sasa wakifa wote yeye atamhubiria nani
Mkuu wakikujibu uvvccm nitagMimi sio mkristu ila kauli ya "bwana mwanya" inanishangaza kidogo, hao wasiotakiwa kujihusisha na siasa ni wa Tanzania tu au dunian kote? Maana mara kibao tunasikia na kuona kwenye vyombo vya habar yule papa wa kikofia mara yupo mashariki ya kati, mara yupo chechnia akihamasisha aman na sehemu nyingnezo duniani au ile sio siasa? Ndugu zangu wakristu mnijib kwa hili walau.
Pengo mbona ni kada mtiifu sana wa Jembe na nyundo tangu enzi za Nyerere!Kuna muda bora uishi na mchawi unayemjua kuliko mzandiki na mnafiki anayejifanya paroko kumbe paka !!!
Bora ungekaa kimya askofu !!
Kwa ufupi Hakuna ukweli hapo,yeye kawezaje kutambua waraka umechanganywa na siasa wakati sio mwanasiasa?Ameongea kweli. ...umeshangaa nini sasa.
Msingi wa siasa ni unafiki
Na msingi wa Dini Utakatifu.
Pengo ni mutu ya kitengo anatumikia white milembe siku nyingi ila viongozi wa kanisa wametambua baada ya kumpeleleza na taarifa kufikishwa vatikani hivyo ameanza kutengwa step by step baada ya kugundulika kuwa ni spy ndani ya kanisa ndo maana unasikia analalamika kuwa akujulishwa habari za warakaAwe na taarifa yy km nani wkt hana time na watz......aendelee kutumia pesa za escrow maana ndo sababu ya kiwewe alichonacho hamna jingine. Isinhekuwa mambo ya ban ningemtusi sn huyu pengo
Maisha ni siasa.Mimi sio mkristu ila kauli ya "bwana mwanya" inanishangaza kidogo, hao wasiotakiwa kujihusisha na siasa ni wa Tanzania tu au dunian kote? Maana mara kibao tunasikia na kuona kwenye vyombo vya habar yule papa wa kikofia mara yupo mashariki ya kati, mara yupo chechnia akihamasisha aman na sehemu nyingnezo duniani au ile sio siasa? Ndugu zangu wakristu mnijib kwa hili walau.
Sisi huyu hatumtaki kabisa akiendelea hivi tutamkabidhi kwa Da Mange apewe za UsoMimi sio mkristu ila kauli ya "bwana mwanya" inanishangaza kidogo, hao wasiotakiwa kujihusisha na siasa ni wa Tanzania tu au dunian kote? Maana mara kibao tunasikia na kuona kwenye vyombo vya habar yule papa wa kikofia mara yupo mashariki ya kati, mara yupo chechnia akihamasisha aman na sehemu nyingnezo duniani au ile sio siasa? Ndugu zangu wakristu mnijib kwa hili walau.