Hakuna tofauti ya alichokifanya Musa kwa wana wa Israeli na alichokifanya Mandela kwa wa South Africa.Zote ni siasa baba yangu.Musa hakufanya siasa. Musa alitumwa na Mungu. Ndiyo maana alilalamika kidogo juu ya uwezo wake na Mungu akampa Haruni kumsaidia.
Gwajima was very very right.May be Gwajima was right.
Sijaona hata sehemu moja ambako wameweza kusali vizuri ikiwa nchi Ina migogoro watu wanapigana vita, hata bikira maria mama Wa Mungu hutokea Mara kwa Mara duniani kote akiasa Amani je naye anachanganya dini na siasa
Huyu askofu kakua sana mawazo yake yanapingana siku hizi hayupo competent katika kujibu maswali kama haya
Punguza jazba.Usitoe mchango wa tegemeza jimbo kwa ajili ya Mwadhama kadinali Pengo,toa ili Injili Takatifu ienee ulimwenguni kote.Mwenyezi Mungu atakulipia na wala si Mwadhama Kaninali Pengo.Naungana na wewe kabisa na nimeamua mpaka atakapostaafu sitotoa tena mchango wa tegemeza jimbo
Rudi kwenye uzi tafadhali malyenge...Taja andiko ukristo ni dini. Huna na wala hutalipata....
Ilianza kwa shehe, sasa kwa kardinali. Kuchanganyikiwa hukuWasalaam, kwa wasiojua cardinali pengo ni mwanasiasa tangu siku nyingi na anashabikia chama cha mapinduzi( ccm). Nimefedheheka kumsikia akiwaambia maaskofu wenzie wasichanganye dini na siasa wakati huo yeye ndo anahubiri siasa. Kwa mujibu wa historia siasa ilianza na dini, bila kuwepp dini kusingezaliwa neno siasa.
Zote tunakumbuka askofu huyo alipata mgao wa fedha haramu za TEGETA ESCROW na alizibeba kwenye mfuko wa kiroba.
Tujiulize je ni kiongozi gani mwingine awe wa kikristo au kiislam alipata mgao wa fedha haramu za TEGETA ESCROW? jibu ni hakuna na kwa muktadha huo ni wazi kwamba askofu pengo analitumikia tumbo lake ,familia yake na ccm; upande wa mwingine analitumikia kanisa katoliki.
Katika nyakati hizi tumeshuhudia uongozi wa kiimla unaovunja na kunajisi katiba ya mwaka 1977 yenye viraka lukuki. Askofu pengo amesahau kwamba mwenyezi mungu alimteremshia musa sheria na hukumu na kumuonya awahukumu Israel kwa haki bila kumwonea MTU. Inashangaza kuona askofu anatetea utawala usiofata misingi ya katiba. Katiba ndio sheria mama ya taifa lolote dunia, maaskofu hawajapinga utawala wa awamu ya tano wamesisitiza nchi iongozwe kwa mujibu wa katiba na sheria zilizotungwa na bunge kwa niaba ya wananchi.
Pia wameenda mbali kwa kuishauri serikali ya wanyonge ya awamu ya tano, ili ishinde vita dhidi ya ufisadi ni vema wakarejesha kwa wananchi mchakato wa katiba mpya ya mzee warioba, hii ingeweza kuwa muarobaini wa matatizo yote yanayotukabili na rais kwa kuwa hapendi wizi, ufisadi, uzembe na mengineyo katiba hii ingetoa Dira ya Tanzania mpya ya viwanda bila kuacha chuki, visasi na sintofahamu iliopo.
Mungu atunusuru, kiongozi mmoja anapopinga maono ya waliowengi kwa wenye imani tunasema alipitiwa na shetani namshauri akatubu.
Hizi ni fikra potofu.Kila anaeongea UKWELI katika Taifa letu kwa sasa anakuwa au ni CHADEMA AU MCHOCHEZI.Ninyi ni watu wa AJABU sijawahi kuwaona.Maaskofu,Haki za binadamu,wanaharakati na mamilioni ya watanzania kwa sasa wanaongea lugha moja na CHADEMA.HAMJAJIFUNZA KITU BADO?.Ninaomba Mtanzania yoyote atakaebahatika kuwa malaika huko mbinguni arudi Tanzania ili aushuhudie huu UKWELI unaosemwa na maaskofu,Haki za binadamu, wanaharakati na mamilioni ya watanzania.Mnataka maskofu wote wawe chadema hii inaitwa DOUBLE STANDARD....tusilazimishane
Unauliza mwanaume mwenzio kama ametahiriwa wa nini?Rudi kwenye uzi tafadhali malyenge...wewe nikikwambia taja andiko muhammad katahiriwa unalo? nilikwisha kujibu kwamba Ukristo sio dini ilaha ni Njia ya kwenda sardaus
Sirudi kwenye uzi. Wewe si ndio unaongoza kwa kukashifu uislam? Kila uzi ukibandikwa humu unapost manyama ya nguruwe na majitu yasiyoeleweka. Ndio na mimi kila uzi ukija unaohusu ukristo lazima nimwage mboga. Kama mnataka nisimwage tangazeni kuanzia leo mtaheshimu uislam.Rudi kwenye uzi tafadhali malyenge...wewe nikikwambia taja andiko muhammad katahiriwa unalo? nilikwisha kujibu kwamba Ukristo sio dini ilaha ni Njia ya kwenda sardaus
rudi kwa topic dogoUnauliza mwanaume mwenzio kama ametahiriwa wa nini?