Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 505
- 887
Askofu Paul Bendera amewataka watanzania kuungana na watu mbalimbali Duniani kusherehekea kwa amani, Siku ya Kuzaliwa kwa Yesu Kristo Disemba 25, na kuachana na mipango ya wasiolitakia mema taifa la Tanzania ambapo wamepanga kutumia siku hiyo kufanya matukio ya Uvunjifu wa amani,
Askofu Bendera amesema ukiona mtu amepanga kufanya uvunjifu wa amani siku ya kuzaliwa mfalme wa amani, basi huyo mtu maanake hawezi <uheshimu imani ya dini yeyote nchini, hivyo anapaswa kutozingatiwa kwani anaweza kuleta mgogoro wa kidini.