Askofu Mwijage: "Amani Haiwezi Kuwepo Kama Kuna Janja Janja Na Usiri".

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,615
Reaction score
40,162
Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Jovitus Mwijage amesema amani haiwezi kuwepo katika nchi mambo yanaendeshwa kwa ujanja ujanja, usiri na uongo.

Askofu Mwijage amesema kiongozi hapaswi kutumia katiba kwa vipengele tu vinavyomlinda yeye huku vingine vikitupwa mbali bali katiba inapaswa kufuatwa kwa matakwa yake yote na hapo ndipo haki itakuwa imetendeka na amani itakuwepo.

Ameyasema hayo leo katika Misa Takatifu ya kuombea Haki na Amani katika nchi ikiwa ni kutimiza takwa la waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) uliotolewa ukiwataka Waamini kufunga na kusali siku ya Tarehe 23 mwezi huu kwa ajili ya kuomba haki na amani katika taifa.

Jimbo Katoliki la Bukoba limeadhimisha siku hiyo leo Agosti 21 kutokana na tarehe 23 Agosti kuwa na tukio la Kijimbo la Sakramenti ya Upadirisho.

1755854678126.jpeg
 
View attachment 3448830
Wazee wa kijiji cha katerero kwenye amaizi, ashapiga mbandule yake anasheahemela amaizi
 
Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Jovitus Mwijage amesema amani haiwezi kuwepo katika nchi mambo yanaendeshwa kwa ujanja ujanja, usiri na uongo.

Askofu Mwijage amesema kiongozi hapaswi kutumia katiba kwa vipengele tu vinavyomlinda yeye huku vingine vikitupwa mbali bali katiba inapaswa kufuatwa kwa matakwa yake yote na hapo ndipo haki itakuwa imetendeka na amani itakuwepo.

Ameyasema hayo leo katika Misa Takatifu ya kuombea Haki na Amani katika nchi ikiwa ni kutimiza takwa la waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) uliotolewa ukiwataka Waamini kufunga na kusali siku ya Tarehe 23 mwezi huu kwa ajili ya kuomba haki na amani katika taifa.

Jimbo Katoliki la Bukoba limeadhimisha siku hiyo leo Agosti 21 kutokana na tarehe 23 Agosti kuwa na tukio la Kijimbo la Sakramenti ya Upadirisho.

View attachment 3448830

..Askofu asimumunye maneno.

..kinachoendelea ni DHULUMA.

..sio sahihi kuiita dhuluma janja janja.
 
Naona Taifa linameguka kushinda muda wowote ule...
Mbaya zaidi mpasuko utaenda kutua kule kwenye pillars zetu 2 tunazozificha na kujifichia
(Tena pillar ile moja nayo inaweza kupasuka kirahisi sana)
 
Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Jovitus Mwijage amesema amani haiwezi kuwepo katika nchi mambo yanaendeshwa kwa ujanja ujanja, usiri na uongo.

Askofu Mwijage amesema kiongozi hapaswi kutumia katiba kwa vipengele tu vinavyomlinda yeye huku vingine vikitupwa mbali bali katiba inapaswa kufuatwa kwa matakwa yake yote na hapo ndipo haki itakuwa imetendeka na amani itakuwepo.

Ameyasema hayo leo katika Misa Takatifu ya kuombea Haki na Amani katika nchi ikiwa ni kutimiza takwa la waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) uliotolewa ukiwataka Waamini kufunga na kusali siku ya Tarehe 23 mwezi huu kwa ajili ya kuomba haki na amani katika taifa.

Jimbo Katoliki la Bukoba limeadhimisha siku hiyo leo Agosti 21 kutokana na tarehe 23 Agosti kuwa na tukio la Kijimbo la Sakramenti ya Upadirisho.

View attachment 3448830
Kabisa Amani ya upande mmoja bila Haki ni kujilisha upepo na ni ubatili mtupu!
 
Ni kweli Kabisa; angalia hapa

Ajali ya MV Bukoba -Kagera

Tetemeko la Ardhi- Kagera

Ajali ya ndege- Kagera

Askofu yuko sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom