Askofu Mwamasika: UKAWA sawa na muunganiko wa Walevi

Hivi hamna umoja wa maskofu,wakeme huu uozo wa hawa maskofu uchwara,maana wana kiuka maadili ya kanisa..!au ndio ile ka anzisha kanisa yy na askofu yeye.?

ana vimada na vimwana wa kutosha muhuni huyo mngese tuuuuuu
 
Hawa wanaojiita viongozi wa dini eti maasikofu ndio wanaotuletea aibu sisi wakristo kwa ulafi wao nakujipendekeza,au anajiandalia mazingira ya Escrow nyingine nayeye Rugemarila amuone?.Au anataka awe wa kwanza kutoa tamko la Chaguo la Mungu ili viongozi wa mafisadi wamuone?.Kama nihivyo bora kusali nyumbani kwangu chini ya mti kuliko kuingia kanisa kama hilo naamini mungu atanibariki kuliko kuwasaliti Watanzania wenzangu
 
umakini wa viongozi wetu pia una akisiwa sana na taaluma yake.kwani cv yake ikoje maana kule kwetu usije ukashangaa askofu hana shule kabisa na kama mjuavyo utitiri wa makanisa mbeya. unaweza kuumiza kichwa kwa kauli aliyo itoa mtu ambae ni insane.
 
Hawa maaskofu nao muwapime....hata aliyesema eti jamaa wa msoga chaguo la Mungu sasa anabadilisha maneno
 
Dadavua vizuri askofu wa kanisa gani, wapi aliyasemea hayo n.k, hawa watumishi wangu huwa wana maono sana huwenda kuna kitu ameona.

Kabisa na hata kakobe kuna kitu ameona mwakani mtaparanganyika
 
Nachelea kuhamini kama maneno haya yametoka kwenye kinywa cha mtumishi wa Mungu.


Kwanza kuna makanisa wanijipachika uaskofu pili hiki ni kipeperushi cha ccm wala watu hawanunui hiki kitu siku hizi kinadoda kwa wauza magazeti. Huwa nikienda kununua magazeti naona kinyaa ninapopokuta kitu hicho gazeti la uhuru ujinga mtupu.
 
Kama Muungano wa UKAWA ni Muungano wa walevi!

Je Muungano wa CCM na ACT, AFP, CHAUSTA, TPP Maendeleo, Jahazi Asilia, UDP, TLP etc utakuwa muungano wa nini?!

Kweli huyu atakuwa ni ASKOFU WA CCM.
 
Mwamasika ni askofu mstaafu wa KKKT Dodoma sawa na Sendoro.Mwamasika ni mtumishi mwaminifu CCM, tangu akiwa kijana TANU.
 
Askofu amedai muunganiko wa UKAWA sawa na muunganiko wa walevi.
Image000026.jpg

Chanzo: Uhuru la leo

Mhariri, mkurugenzi na waandishi Wa Uhuru wanasumbuliwa na njaa, mishahara hakuna! Hatuwashangai kuandika walichokiandika. Ukawa Kama kawa, Ukawa ni Dawa, Ukawa jana, Ukawa Leo, Ukawa kesho and forever. Wahalifu Kama waandishi Wa kijarida cha Uhuru wasipoukashifu Ukawa nitashangaa sana 'cause that is typical of what is expected of waandishi makanjanja wenye njaa like them. Let freedom reign, aluta continua.
 
Ask.Mwamasika amewahi kuwa mbunge wa bunge la JMT kama ask. Chiwanga enzi zao;lakini wote walikimbilia kazi kanisani !
 
Ninamashaka na huyo roho kama kafunuliwa au atakuwa amefunikwa kabisa. Si poa kucomment issue za kisiasa ukijua kabisa kondoo ulio nao wana itikadi tofauti. Hapo tayari kutakuwa na roho zinazoumia na kujicontradict na kile kiongozi wao wa dini amesema na kuna hatari kondoo watatawanyika maana tayariii mchungaji keshapigwa.
 
Back
Top Bottom