Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 47,219
- 32,721
Mkirsto mwenzako msomi usipingane nae.ni wa dhehebu gani? Ili tusijisumbue.
Mkirsto mwenzako msomi usipingane nae.ni wa dhehebu gani? Ili tusijisumbue.
Hivi hamna umoja wa maskofu,wakeme huu uozo wa hawa maskofu uchwara,maana wana kiuka maadili ya kanisa..!au ndio ile ka anzisha kanisa yy na askofu yeye.?
ni wa kanisa gani maana siku hizi kila mwenye kakanisa anajiita askofu kumbe mganga njaa tu kama NapeKauli ya Baba Askofu iheshimiwe.
source uhuru gazet la kufungia vitumbuaAskofu asante kwa kuliona hilo!!!!!
Dadavua vizuri askofu wa kanisa gani, wapi aliyasemea hayo n.k, hawa watumishi wangu huwa wana maono sana huwenda kuna kitu ameona.
Nadhani yeye pia amelewa,ni mchungaji wa nini?mchungaji gani anakuwa mwanasiasa?
Nachelea kuhamini kama maneno haya yametoka kwenye kinywa cha mtumishi wa Mungu.
Askofu amedai muunganiko wa UKAWA sawa na muunganiko wa walevi.
Chanzo: Uhuru la leo