JAKOBO
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 934
- 194
Watatuletea tu kwa sababu wanajua tunaogopa police,risasi na mabomu.Hizi kelele wao wanaona ni sawa na kelele za mlango.Nilishasema huko nyuma kama wachache hatutakubali kufa kwa ajiri ya Taifa hili basi tukae kimya tu-wafanye watakalo
Kweli mkuu,watanzania niwatu wakuongea tu hatuchukui hatua ndio mana wanafanya wanavyotaka