Askofu Mkuu Zachary Kakobe aitwa Uhamiaji Jumatatu kuhojiwa juu ya uraia wake

Ulofa ni kusahau kuwa nchi ilikuwa kwenye wimbi la ufisadi...na kwamba mtu angeweza kupata pasi hata kama sio raia.
Dawa ni kuimarisha idara ya uhamiaji na taasisi zingine zinazohusika. Kama ufisadi ulikuwa wa kiwango hicho, ni afadhali wenye passport wote waitwe na kuhojiwa (tukianza na raia # 1 wa magogoni street); taasisi zisafishwe na kujengewa uwezo.
 
Tukianza choko choko za kuulizana uraia nasema hakuna atakaepona maana makabila mengi Tanzania chimbuko lake ni nje ya Tanzania
 
Wamwite na kafulila, machali, Ndalichako, mpango, nao wakahojiwe, halafu nasikia yule mtoza ushuru mkuu sio wa hapa, ndugu yake na omolo oginger
 
Tatizo sio kwa mtu yeyote Tanganyika hii kuhojiwa, tatizo linaanzia kwenye Timing ya kumhoji Mtu. Hapa ndio weledi wa utendaji unapokuwa kwenye Mashaka!
 
Ahh ndio maana nasema sifa yetu ya uzalendo ni mbaya. Yaani bwege, zuzu, mjinga, muoga nk hizo ndizo sifa za mTz halisi. Nagundua kwanini elimu yetu isivyosaidia watu wake. Nini maana ya viongozi na watawala kuwapenda watu wasiohoji chochote?! UJINGA
 
Waha hawana tabia kama za kakobe, kakobe sio muha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…