Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,754
- 7,536
Dawa ni kuimarisha idara ya uhamiaji na taasisi zingine zinazohusika. Kama ufisadi ulikuwa wa kiwango hicho, ni afadhali wenye passport wote waitwe na kuhojiwa (tukianza na raia # 1 wa magogoni street); taasisi zisafishwe na kujengewa uwezo.Ulofa ni kusahau kuwa nchi ilikuwa kwenye wimbi la ufisadi...na kwamba mtu angeweza kupata pasi hata kama sio raia.