Askofu Mkuu Zachary Kakobe aitwa Uhamiaji Jumatatu kuhojiwa juu ya uraia wake

Kushindana na baba askofu kakombe ni sawa na kushindana na mungu mwenyewe
Huna ufahamu wa mambo ya kimungu. Hapo unamfananisha Mungu . Ndimi bwana Mungu wako usiabudu kakobe, Adhabu yake ni moto wa milele. Kakobe is nothing kwa Mungu. Atazikwa na kuoza, na foleni ya hukumu aifuata. Futa kauli yako , ama wewe unashiriki dhambi kuu.
 
Hakuna Jema Lolote hata Ikiwa Ni Kujikata Nyama Uwape watu wale, Kitakachompa Mtu Uhalani wa Kuchukua UHURU na HAKI zao Za Kikatiba. Magufuli is EVIL PERIOD! Hata Id Amin Alikuwa Hivyo hivyo Mchana Alijifanya Kipenzi Cha Watu Wakati Usiku ni BUTCHER!
sasa utamfanya nini kama ni Evil? Zero brain hawana alternatives za kuishi na Evil person. Pole , inaonekana wewe malaika? Au Zero brain ? Dunia ina watu wengi , kati yao na wewe upo. Jaribu kujitoa kwenye hukumu yao tafuta kuishi nao wote, Utapata furaha daima. Evil and Good are all together inside a human person
 
Simple logic ulishawaona wapi MTU mwenye ishu za utata asie clean akaongea, wasio clean ukaa kimya kuogopa kukutwa na hatia na kusumbuliwa.Baada ya TRA kuambulia patupu naona ni zamu ya uhamiaji kupewa za USO.Sijui watatumia silaha ipi nyingine,shida huwa wakishapewa za uso kimya hawaleti mirejesho.
Yakiganda yote, wasiojulikana huweza fanya yao
 
HII NI KIINI MACHO TU!
Kuna mtu anatafutwa!
Mchezo wa kuigiza!
Wajinga ndiyo waliwao!
 
Simple logic ulishawaona wapi MTU mwenye ishu za utata asie clean akaongea, wasio clean ukaa kimya kuogopa kukutwa na hatia na kusumbuliwa.Baada ya TRA kuambulia patupu naona ni zamu ya uhamiaji kupewa za USO.Sijui watatumia silaha ipi nyingine,shida huwa wakishapewa za uso kimya hawaleti mirejesho.
TRA kakobe alilwalipa milioni 58 alizokwepa kodi pia TRA waligundua kuwa pesa za kanisa za safari za nje anazitumia yeye na familia yake tu pia wakagundua kuwa pesa za kanisa zinatumika kujenga nyumba binafsi ya mkewe utasemaje kakobe hana issue tata?
 
Nadhani aliandika pascal Mayala kwamba watu wa Dodoma ndio watanzania halisi, kwa kigezo kuwa wapo centre. Si unaziona akili zao? uvivu, kuomba omba, kukipenda chama cha kijani...huo ndio utanzania.
Ila huku mipakani kuna watu wabishi, majasiri wenye kuthubutu, si unawakumbuka wamakonde na gesi yao? na mchango wao kwenye mapinduzi ya Zanzibar.
Serikali inawajua watu wake halisi.
Acha umbea dume utaolewa
 
Hata Yesu anaijua nguvu ya Dola ikoje. Asilalamikie Dola , acha itembeze mirija yake kwenye mishipa yake.Usicheze na Dola pole pole atanyooka tu
 
Tukio hili linakuja baada ya sekeseke kati ya Askofu huyo na TRA, kuhitimishwa tarehe 20.2.2018, siku ambayo Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere, alipotoa taarifa kwa umma juu ya uchunguzi wao; na baadaye kusema mjadala huo umefungwa.
Kamishna Mkuu wa TRA aliufunga mjadala wa kodi. Hii sasa ni hoja ya uhamiaji na usikute imesababishwa na bandiko hili
Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko?
P
 
Wakati mwingine huwa nawaza tu....Ivi Kakobe nae huwa ni ASKOFU? Tufike mahali tuelewe hizi tofauti na hadhi ya UASKOFU sio kuiga tu.
kisinja, hivi wewe unaelewa nini kuhusu neno Askofu linapotajwa, hasa tukizingatia kwa upande wa Wakristo? Kama kuna chochote unachoelewa niambie, kama labda hujui, pia niambie mimi nitakuelezea ninavyofahamu.
 
Swala siyo wananchi wa mipakani bali ni aina ya utawala tulionao wanapenda kuabudiwa muumini asietaka kuwabudu basi shariti tanuru la TRA likumeze ukifanikiwa kuokoka unakutana na shimo la simba uhamiaji,
utawala huu sio
 
Back
Top Bottom