beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,877
- 6,326
Wataalamu 7 wanaomuhudumia Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar, Mhashamu Yuda Thadeus Ruwai’chi wameeleza kuwa wamemtoa Askofu katika Chumba cha Uangalizi Maalumu (ICU) baada ya kujiridhisha na maendeleo ya afya yake
Wataalamu hao wamefanya maamuzi hayo leo asubuhi baada ya kufanya tathmini ya vipimo pamoja na taarifa mbalimbali za maendeleo ya Askofu tangu alivyofanyiwa upasuaji akiwa MOI
Kati ya Wataalamu hao 7, yumo Daktari Bingwa wa upasuaji wa Ubongo, Daktari Bingwa wa Usingizi, Mtaalamu wa Lishe, Muuguzi Mbobezi pamoja na Mtaalamu wa Mazoezi tiba