Askofu Mkuu KKKT: Hakuna kiumbe/kiongozi yeyote atakayeweza kulitikisa Kanisa,hajazaliwa na hatozaliwa

Point, nami nasema hajazaliwa wala hatazaliwa
 
Huyu shoo atafikia muda atakuwa Soo

Sijawahi ona askofu mpenda siasa na majibizano ya Twitter /Instagram kama huyu

Nachomwomba Mungu atupe uzima kushuhudia tambo zake
 
Huyu shoo atafikia muda atakuwa Soo

Sijawahi ona askofu mpenda siasa na majibizano ya Twitter /Instagram kama huyu

Nachomwomba Mungu atupe uzima kushuhudia tambo zake
Hawezi kuacha kukemea maovu eti tu kwa sababu ya kuwafurahisha watu kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…