Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,777
"Tungeweza kusema ujio wa Yesu Kristo umeondoa kila aina ya dhuluma, uwe umeondoa kabisa hali ya uonevu, uwe umeondoa kabisa hali ya kutojali utu, uwe umeondoa mauwaji au kuuawa kusipokuwa na hatia, uwe umeondoa kabisa unyanyasaji wa aina mbalimbali , tulidhani imengekuwa hivyo miaka yote imepita, lakini Bado hayo mambo yapo."
Amesema Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa Mhashamu Romanus Mihali wakati akitoa Homilia kwenye Mkesha wa Sikukuu ya Noeli Jimboni humo.
Amesema Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa Mhashamu Romanus Mihali wakati akitoa Homilia kwenye Mkesha wa Sikukuu ya Noeli Jimboni humo.