mwanaizaya
Senior Member
- Apr 26, 2008
- 133
- 1
Askofu Mkuuu Wa Kanisa La Kkkt Tanzania Bw Malasusa Amesema Imefika Wakati Kanisa Tubaki Kama Kanisa Na Wanasiasa Naomba Mliheshimu Hili..tusingependa Kanisa Kutumika Kama Sehemu Ya Kujisafisha Au Kutangaza Sera Za Chama Fulani...
Kama Niliposema Hapo Nyuma Kkkt Si Ya Chama Chochote Na Wala Hakina Mpango Wa Kuingia Kwenye Siasa!!!!
Katika Kuhitimisha Askofu Mkuu Amesema Amegawa Waraka Makanisa Yoote Kulaani Yale Yaliotokea Kuhusu Kukaribishwa Kwa Mh Rostam Aziz,,alisema Anawakaribisha Sana Wanasiasa Ila Asingependa Watumie Sehemu Ile Kama Sehemu Ya Kujisafisha Au Kutangaza Sera Za Chama Fulani;;;;;
Huyu Askofu Malasusa ni MNAFIKI tena sana.
Tunakubali kuwa RA ni FISADI lakini mbona LOWASA alipokelewa tena na ASKOFU Laizer Arusha na hata kumwekea mikono ya baraka eti kwa kitendo cha kishujaa kujiuzuru uPM wakati aliambiwa lazima aachie ngazi, ASKOFU LAIZER ajua LOWASSA ni FISADI, hata huyu Askofu mkuu wa kkkt Tanzania bw. Malausa anajua hivyo kwanini HAKUKEMEA badala yake alikaa kimya wakati huo. mbona hata sasa hakumtaja LOWASSA badala yake anamkemea rOSTAM AZIZ peke yake.
Mtazamo wangu askofu mkuu Malasusa ni MNAFIKI na MBELE YA MUNGU anahatia kwa kumkubali LOWASSA sijui kwa sababu ya kusaidia kujenga kanisa. Naona bora angekaa kimya tu otherwise, watu wa UDUNI watasema kwasababu RA ni dini tofauti ndiyo maana KASEMA
huyu bwana ni mnafiki sana kwanza kuna hiki kisa mnisaidie kuna binti mmoja alipata matatizo na bwana wake akapeleka matatizo kwa mkuu malasusa baadala yake jama akaafanya testing kumu apro@##$%% mwisho dada akaamua kujikalia na matatizo yake
lingine hilo la lowassa mbona akuongea zaidi ya kupiga perfume viti vyake na familia yake kila jumamosi na yeye kuja na kuhahkiki mapema kama viko safi we malasusa
unamwona mwenzio mtikila anatukana huku ameshayakalia mavi....kumbe mnaikwenda kuomba na vijisent kw ahaho hao mafisadi alafu mnawatukana nyie watu waumini kuweni macho sana na watu hawa mtakufa maskini......mtikila amejenga jumba kubwa mikiocheni kwa pesa za kuomba mafisadi nyie mmmmhhh
haya we!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!