Baba Askofu Kulola namuamini sn namjua sn nawakati anapitia wakati mgumu na Askofu Lazaro mimi nilikuwa muumini wake, lkn kwa hili aache ukweli usemwe na mtu yeyote bila kujali anamiliki au anamilikiwa na kanisa gani aache kabisa watu wafanye kampeni hata kanisani watu wajue wenyenia njema kwa taifa ili wachaguliwe na si vinginevyo, asipoangalia atapakwa mayope aonekane ameonewa kumbe ameingiza mkono mwenyewe mahala pasipo mhusu.Source in Gazeti la CCM la Uhuru
Huyu mzee alikujaga kutuaga mwezi wa 9 mwaka 1999, dodoma kwamba tutaonana mbinguni, kwani mwaka 2000 ni mwisho wa dunia
Akamatwe akatoe maelezo ni akina nani wenye kampeni za chinichini!
Mzee Kulola ni mnafiki, yeye ni mkereketwa mkubwa wa CCM, sasa yeye anaona ni dhambi kwa watu wengine kuwa wakereketwa wa vyama vingine vya siasa ambavyo vimesajiliwa kisheria. Huyu mzee ndiye wa kwanza mwaka 2005 kusema kuwa JK ni chaguo la Mungu, hivi alikaa lini na Mungu akamuonyesha kuwa mtu mshirikina anayelindwa na jeshi la majini kuwa ni chaguo lake Mungu? Au tuamini kuwa huyu mzee anaye mungu wa kwake tofauti na Mungu wetu aliyeumba mbingu na nchi.Kulola mbona asizungumzie kampeni zinzofanyika kwenye baadhi ya misikiti kuwa waislamu waichague CCM kwa vile mgombea wake ni mwislamu mwenzao?