Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,366
hata sheikh yahaya huwa ananena na tunapinga pia.........au wewe unasemaje.habari ndio hiyo! askofu kanena.. mnaanza kupinga
hata sheikh yahaya huwa ananena na tunapinga pia.........au wewe unasemaje.habari ndio hiyo! askofu kanena.. mnaanza kupinga
Mjukuu wake Mbasha si yuko kwenye kampeni za JK , hilo linafahamika. wale wale!
Mimi nilishtuka kidogo niliposikia askofu,nilipo gundua ni wa TAG haaa! hawa si wale wale wanao waibia maskini kwa kusema wanaponyesha magonjwa, hawana tofauti na waganga wa kienyeji hata ukiangalia matangazo yao mengi, na ponya hili nalile hawana jipya, hawa watu si wasafi
Classic lie of pretextDo not "JUDGE" you will be "JUDGED"
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Askofu Kulola huipigia debe CCM[/FONT]
[FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]Nani anamdanganya nani?[/FONT][FONT=Arial, Helvetica, sans-serif] Askofu Moses Kulola na mkewe wakikumbatiana na aliyekuwa askofu wa TAG Tanzania, Emanuel Lazaro na mkewe. Wanaoangalia ni Askofu Kitonga (wa pili kulia) Pia alikuwepo mlinzi maalum wa Askofu Kulola anayejulikana kwa jina moja tu ALEX. Bila hata kuambiwa, sura yake tu inaonyesha yuko kazini. Wenzake wanacheka, lakini yeye hacheki na watu. Ana sura ya mawe. (Ni wa kwanza kulia.) CCM tangu wakati wa Nyerere, ilimpatia Kulola walinzi wanaolipwa na serikali, ili akipigie debe chama hicho. Kulola alikaidi uongozi wa TAG ikazuka vita kati yake na Askofu Emanuel Lazaro. Serikali ilimpendelea kulola kwani alidai misaada mingi kutoka Marekani ilikuwa na lengo la kupenyeza CIA Tanzania kwa kutumia TAG. Nyerere aliinunua hiyo jumla kwani sera zake za ujamaa zilizoshindwa zilikuwa zikihofu sana Marekani wasijeleta ubepari Tanzania. Kulola alionekana malaika wakati Lazaro serikali ilimuona shetani. Lazaro alikwamishwa mpaka alipoachia ngazi ya uaskofu. Kulola mpaka leo anafaidi uongo wake wa kuidanganya serikali kwamba CIA walimtumia Lazaro. Ukiyasikiliza mahubiri ya kulola kwa makini, utakuta anawalisha waumini siasa za CCM bila wao kujua. Kulola ndiye mhubiri wa DOLA Tanzania. Mikutano yake inalindwa na kikosi maalum, Yeye mwenyewe analindwa kila aendako, Ni kipenzi cha CCM. Tuombe iwe hata mbinguni Mungu atampa heshima anayopewa na CCM. Vinginevyo atakuwa ameshavuna duniani. Nchini Kenya Kitonga aliipamba sana KANU na alikuwa mhubiri wa dola Kenya. Tangu KANU waachie ngazi Kitonga yuko nje ya duara la madaraka.[/FONT]
Mkewe Kulola anasadikiwa kuwa na pea elfu tatu za vitenge na khanga. Kila mkutano washirika hulazimishwa kununua vitenge na zawadi nyingine kwa mama askofu. Inasemekana kwamba kina Mwasota walikosana na Kulola pale na wao walipopewa zawadi za vitenge na ikaonekana mke wa Mwasota anashindana na mama askofu kimavazi na ndipo Mwasota alipotimuliwa. Inasemekana kwamba mke wa kulola hupenda kuonekana amewazidi wote kimavazi. Nchini Kenya Kitonga aliipamba sana KANU na alikuwa mhubiri wa dola Kenya. Tangu KANU waachie ngazi Kitonga yuko nje ya duara la madaraka
source: Munishi blog KulolaOnline
Have you recognize how stupid you are?Mimi nilishtuka kidogo niliposikia askofu,nilipo gundua ni wa TAG haaa! hawa si wale wale wanao waibia maskini kwa kusema wanaponyesha magonjwa, hawana tofauti na waganga wa kienyeji hata ukiangalia matangazo yao mengi, na ponya hili nalile hawana jipya, hawa watu si wasafi
Have you recognize how stupid you are?
1. Kulola is NOT TAG he is EAGT
2. TAG don't do what you say they do
3. Hakuna Mkristo aliye msafi kwa haki yake. tu wasafi kwa kuwa tumeoshwa kwa damu ya Yesu
Alikuwa TAG na sasa yuko EAGT. two different things!Lakini TAG na EAGT mwanzoni ilikuwa moja. Baada ya Kulola kutwangana na Lazao wakigombea uaskofu ndiyo wakatengana kila mmoja akaanzisha kanisa lake.
Alikuwa TAG na sasa yuko EAGT. two different things!
Watanzania!Nasikia Kulola na wafuasi wake walipigana na Lazaro na wafuasi wake wakigombea uaskofu. Huyu Kulola inaoneka ni mtu wa mwili si wa roho. Halafu inakuwaje kampeni za JK ni za vituko vituko tu vya kuiangamiza nchi yetu. Sasa hivi kampeni za JK ni udini tu, ni mtu wa namna gani huyu?
Watanzania!
Unajua huyu jamaa yetu bila fitna mambo hayaendi. Sasa ukisoma hiyo stori ya gazeti la uhuru kuhusu Kulola utaona kabisa ni story iliyojaa udini! Kwa sababu wanataka watu wa-conclude kuwa Kikwete anapingwa kwa ajili ya uislam wake na Dr Slaa amependwa kwa sababu ya Ukristio wake. Hizi zote ni technics za Kikwete baada ya kuona mambo si mazuri!