Askofu Kinyaiya ahadharisha wasiokwenda Kanisani hadi waletwe ndani ya jeneza

Wanadamu huwa tunajisahau sana utadhani tunafahamu siku zetu. Tunatakiwa tuwe tayari mda wote, tukeshe tukiomba.
 
Mchungaji/padri au askofu ni wajibu wake kusisitiza watu waende kanisani, sababu ni kwamba wasipoenda hana kazi na hawezi kula wala kunywa.

Watu husisitizwa ili waende kanisani maana yake mwisho lazima watoe sadaka ambayo ndio roho ya kanisa au makanisa, bila sadaka hayo mambo hayapo.

Sio kwamba wanasisitiza kwa kua wanapenda watu, hapana, wanatetea matumbo yao na kazi zao.
Kuna kanisa au msikiti linalowashikia bakora waumini wake watoe sadaka?
Hata usipo toa nani atajua?na yesu alishasema toa sadaka yako kwa siri mpaka mkono Wa kushoto usijue.
 
Mchungaji/padri au askofu ni wajibu wake kusisitiza watu waende kanisani, sababu ni kwamba wasipoenda hana kazi na hawezi kula wala kunywa.

Watu husisitizwa ili waende kanisani maana yake mwisho lazima watoe sadaka ambayo ndio roho ya kanisa au makanisa, bila sadaka hayo mambo hayapo.

Sio kwamba wanasisitiza kwa kua wanapenda watu, hapana, wanatetea matumbo yao na kazi zao.
Kwa miaka mingi kanisa hasa katoliki limekuwa likiwanyonya vibaya sana waamini wao!

Wingi Wa aina za michango isiyo Na kikomo mf zaka sadaka ujenzi michango ya hiari kibao.

Katika ibada moja vinaweza pita vikapu vya sadaka Mara NNE,
Bado bahasha!

Mbaya zaidi wasio nacho wanabaguliwa sana,ni nadra mno kwa padri au mchungaji kumtembelea muumini kapuku!

Wenye pesa ndio hupewa vyeo MF Mzee Wa kanisa,mhasibu,mtunza hazina,katibu etc.

Watu kutengwa Na maiti kususwa ni normal kama hutoi michango wala hupeleki kuku!,Mungu gani huyu!

Waumini wanakosa mlo Ila mchungaji anabadili ndinga
 
Kanisa limekua likiibia watu miaka nenda rudi, miaka ya nyuma walikua wanatoza watu pesa ili wawasamehe dhambi. Yani ulikua unamlipa padri pesa au dhahabu ili akusamehe dhambi kana kwamba wao ndio mungu.
 
Maaskofu wengi hasa Kanisa katoliki bado mmelala, hamtembelei parokia zenu mpaka siku ya Kipaimara tu. Kama mnataka kufufua ari ya waumini wenu tembeleeni parokia, kutaneni na waumini wenu mara kwa mara. ongeeni na kamati za walei, tembeleeni jumuiya. Maaskofu mmelala, hivyo maparoko na wasaidizi wao nao wamelala na waumini wamelala.

Mwezi huu wa Rozari, fanyeni suprise visits kwenye parokia, kwenye vigango na kusali na jumuiya. wekeni semina za mara kwa mara kila wiki parokia zote kufundisha hasa vizazi vipya ama waumini wapya juu ya hostoria ya kanisa, mfumo wa liturujia ya kanisa katoliki, maana ya ibadA MBALI MBALI, sacrament na pia mfundishe Biblia kwa kutumia Bibilia ambayo haijapotoshwa.
Well said. Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma, yupo nje ya Jimbo lake kwenye sherehe ya Kipaimara. Kondoo wake wanamuona kwa nadra sana hata wengine hawamfahamu. Bora angeanza na kutoa boriti kwenye jicho lake, ndio angeweza kuona vibanzi kwenye macho ya walei anaowaongoza.
 
View attachment 599826
Baba Askofu Mhashamu Beatus Kinyaiya, O.F.M. Cap.

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma, Mhashamu Beatus Kinyaiya, amewataka Wakatoliki kuhakikisha wanadumu katika sala na kwenda Kanisani na siyo kusubiri waletwe Kanisani wakiwa ndani ya jeneza.

Askofu Mkuu Kinyaiya aliyasema hayo hivi karibuni kwenye Ibada ya Misa Takatifu ya Sakramenti ya Kipaimara, iliyofanyika katika Parokia ya Mtakatifu Peter Clavery, Mbezi Louis Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam.

Mjitahidi kwenda Kanisani kusali na ninyi waimarishwa yale mliokubaliana na Mwenyezi Mungu, mkayafanyie kazi siku zote za maisha yenu”, alisema Askofu Kinyaiya na kuongezea, “Hii isiwe ndiyo mwisho wenu wa kufika Kanisani baada ya kupokea Sakramenti ya Kipaimara…bali endeleeni kuja Kanisani kwa Ibada na Sakramenti mbalimbali, msisubiri mletwe Kanisani mkiwa ndani ya jeneza”, mwisho wa kunukuu.

Askofu Kinyaiya alisema kuwa vijana hao wanatakiwa kutambua kuwa wao kwa sasa ni mabalozi katika familia zao, kwa kuwaamsha wazazi na walezi wao kwenda Kanisani na kushiriki Jumuiya ili kuondoa hali ya ubaya ndani ya familia zao.

Source: Tumaini Letu
Mbona Dar kuna maaskofu watatu!
 
MNAHANGAIKA NINI NYIE WAKATI UKIWA NA HELA ,UKIFA ,NDUGUZO WANALIPA HELA KWA PADRI UNAOMBEWA ,UNATOKA PAGATORI UNAENDA MBINGUNI, HATA KAMA NI MWIZI KAMA ULIWEKA AKIBA , BAS UKIFA PAGATORI ITAKUSAIDIA ,

WASIONACHO NDIO WATAKOMA ,WENYE NACHO WAPO BAR, GEST NA KWENYE STAREHE , MAANA KUNA SHORTCUT
 
Back
Top Bottom