Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,972 Reaction score 30,152 Sep 8, 2015 #41 Gwajima adai Dr.W.Slaa ndie aliemafuata yeye Gwajima kumuomba akamletee Lowassa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
STDVII JF-Expert Member Joined Nov 24, 2014 Posts 1,629 Reaction score 691 Sep 8, 2015 #42 Amepanga washangiliaji kweli gwajima Tapeli
gollocko JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 2,945 Reaction score 2,283 Sep 8, 2015 #43 Updates plz kwa wale tusiokaribu na luninga
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 20,027 Reaction score 16,149 Sep 8, 2015 #44 baada ya maongezi ya muda mrefu...wakakubaliana vizuri sana!
Cham Bee JF-Expert Member Joined Feb 10, 2015 Posts 3,516 Reaction score 1,856 Sep 8, 2015 #45 Kongolo said: Anaanza muda na je itakuwa live kwa hizo tv au recorded? Click to expand... Haikuandikwa Live..
Kongolo said: Anaanza muda na je itakuwa live kwa hizo tv au recorded? Click to expand... Haikuandikwa Live..
STDVII JF-Expert Member Joined Nov 24, 2014 Posts 1,629 Reaction score 691 Sep 8, 2015 #46 Anakiri kwamba alikua mshenga vikao vyote vya Kamati kuu ya CDM
malkiamrembo JF-Expert Member Joined Mar 29, 2015 Posts 386 Reaction score 231 Sep 8, 2015 #47 Ngoja mkuu kuna kitu nimekosea labda
utaifakwanza JF-Expert Member Joined Feb 1, 2013 Posts 14,193 Reaction score 2,815 Sep 8, 2015 #48 malkia gani wewe unatuwekea link ya uongo??
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 20,027 Reaction score 16,149 Sep 8, 2015 #49 mtu wa Mungu Lowassa alianzia kwenye nyumba za ibada badala ya kuanzia kwa waganga wa kienyeji!!
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,302 Reaction score 96,517 Sep 8, 2015 #50 nsalu said: kama mpo nyumbani angalieni chanel ten gwajima a anaongea now Click to expand... Kwa umeme upi???
nsalu said: kama mpo nyumbani angalieni chanel ten gwajima a anaongea now Click to expand... Kwa umeme upi???
K KMANGA JF-Expert Member Joined Jan 30, 2014 Posts 674 Reaction score 369 Sep 8, 2015 #51 Awe makini asije akaishia kutoa matusi kama alivyofanya siku za nyuma hapo viwanja vya TPL
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 20,027 Reaction score 16,149 Sep 8, 2015 #52 Lowassa alipokelewa na Dr Mihogo kuingia kwenye kamati kuu!!
sifongo JF-Expert Member Joined Jun 5, 2011 Posts 4,895 Reaction score 5,308 Sep 8, 2015 #53 Mbona hiyo link miyeyusho?
A aiai654 JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 3,857 Reaction score 1,265 Sep 8, 2015 #54 STDVII said: Anakiri kwamba alikua mshenga vikao vyote vya Kamati kuu ya CDM Click to expand... Acha kupotosha
STDVII said: Anakiri kwamba alikua mshenga vikao vyote vya Kamati kuu ya CDM Click to expand... Acha kupotosha
Egwugu JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 17,558 Reaction score 8,555 Sep 8, 2015 #55 Mwizi wa wake za watu na kuvunja ndoa atasikilizwa na wezi wenzie tu
malkiamrembo JF-Expert Member Joined Mar 29, 2015 Posts 386 Reaction score 231 Sep 8, 2015 #56 Ngoja mkuu kuna kitu nimekosea labda fuata hii Press Conference ya Askofu Josephat Gwajima ipo LIVE Bonyeza link hii: Rudisha TV - Pastor Josephat Gwajima on USTREAM: Live video broadcasting from Ufufuo na Uzima Ministries. RUDISHA TV. Church
Ngoja mkuu kuna kitu nimekosea labda fuata hii Press Conference ya Askofu Josephat Gwajima ipo LIVE Bonyeza link hii: Rudisha TV - Pastor Josephat Gwajima on USTREAM: Live video broadcasting from Ufufuo na Uzima Ministries. RUDISHA TV. Church
J jjmm JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 1,221 Reaction score 366 Sep 8, 2015 #57 Mlinzi unaongea
S sensor JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 2,467 Reaction score 1,084 Sep 8, 2015 #58 Anasemaje muzee ya neno la bwana
N neikia Member Joined Feb 20, 2014 Posts 25 Reaction score 5 Sep 8, 2015 #59 gollocko said: Updates plz kwa wale tusiokaribu na luninga Click to expand... Ni redio gani inarusha
STDVII JF-Expert Member Joined Nov 24, 2014 Posts 1,629 Reaction score 691 Sep 8, 2015 #60 aiai654 said: Acha kupotosha Click to expand... Tafadhali sitaki uni quote niko live