Hii kweli ni mahali pake apa?malalamiko mengine bwana,Mbona uongonzi wa kanisa ili unaeleweka kuna ngazi tofauti tofauti simgepeleka Huko kwa ngazi husika ikishindikana ngazi iyo mnapanda mpaka uko juu ingekuwa haya makanisa yakilokole ningekuelewa maana yanamilikiwa na watu binafsi Hilo kanisa siyo la huyo mtu Mbona wote mnajua hakuna wajanja hapo kweli au nyinyi Ndio mnaleta fujo hapo?