Mzinza wa town
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 347
- 368
Ngoja nikujibu:Kama kuna mungu anapigania watanzania basi huyo mungu hana nguvu kabisa inabidi waache kumuabudu maana Tanzania ni moja ya nchi choka mbaya duniani, watu hawana hela, ukimwi umejaa, wajinga wengi, yaani the majority ni njaa tu. Huyo mungu anayewapigania huyo ovyo kabisa.
Hua nacheka nikisikia mtu anasema mungu wetu ni mungu mwenye nguvu kuliko yeyote, na ni mwenye upendo kuliko yeyote, sasa ana upendo mwingi na nguvu alafu anawaacha mnakufa njaa, mnakufa kwa mafuriko, magonjwa, ni either hana upendo kama mnavyofikiri au kama anao basi hana nguvu kama mnavyofikiri hawezi zuia haya, angekua na vyote viwili basi haya yasingetokea, sasa chagueni moja, ana lipi? au hayupo kabisa? Huwezi kua mrefu na mfupi at the same time.
1. Mungu ni mwenye neema na rehema kwa wampendao. Yeye huwapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha nne cha wale wamchukiao but He shows loves for those who love Him (Exodus 20:4-6)
2. The root of every man’s problem is sin and the solution to every man’s problem is remission of sin through Jesus Christ
3. Njaa, magonjwa, vita, na mabaya mengine ni matokeo ya dhambi
4. Ikiwa mtu atamtumainia Mungu na kumtumikia kwa moyo wake wote na kwa nguvu zake zote na kwa akili zako zote hakika mabaya hayatakaribia kwake
5. Taifa ambalo watu wa Mungu wamejinyenyekesha na kumwomba Mungu na kuziacha njia zao mbaya, Mungu huliponya taifa hilo (2 Nyakati 7:14)
5. Huwezi ukamwacha Mungu ukategemea akili zako na ukafuata njia zako halafu ukabaki salama