fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
Wewe ni msemaji wa Gwajima?
Leo kuna ibada hapo kawe?au mnasali kupitia kanda zake?
Najaribu kufikiria, mwaka 2012 Kova alikuja na story kwamba kulikuwa na mkenya kwa jina Joshua Mulindi aliyekwenda kanisani kwa Gwajima kuungama kuhusika na kumteka Dr Ulimboka. Gwajima alipinga hadharani uongo huo wa kova. Sijui baada ya hapo uhusiano wa kova (serikali) na Gwajima ulikuwaje!Eeee Mungu, turejeshee Askofu wetu Kanisani, Iwapo kuna njama chafu na mungu mwenye nguvu ambaye wewe unamtumikia akulinde, ulimkemea askofu kwa kosa la usaliti, yuda alisaliti pia ndo maana ni nadra sana mtu kuzaa mtoto na kumwita yuda, usaliti ni mbaya tumeona kwenye maandiko kibao ktika vitabu vitakatifu, ulifanya lililojema.
Askofu aliyesaliti wengine alipaswa kutubu na kuomba radhi, matusi yapi ambayo gwajima kasema kuliko usaliti??? enyi wenye hekima, gwajima kaja anatembea arudi akiwa anatembea mwenyewe, hadithi na mambo kama hayo tusingependa kusikia.
Mungu aliyeweka mbingu na viongozi ktk duniani basi akulinde na uovu wa aina yoyote, iwapo utapotea kwa kukemea usaliti, wasaliti watamchukiza mungu hadi kiwango cha mwisho.
Naomba tumuombee askofu aliyejasiri ktk dunia ya leo ya mwenye nguvu mpishe.
Nawasilisha
Ujumbe wako una mantiki ila jaribu kujifunza kutumia vituo na koma kwenye sentensi zako.Mamndenyi saha hatakama unaupenzi na imani yako ila penye ukweli pasemwe hatakama amefanya mzazi wqko usiwe mtumwa wa fikra kwamba ukisema itakuaje alimwambia ukweli japo maneno mengine yana upande si mzuri ila kama ni jibu limeshapasuka
Polisi inamuhitaji zaidi
Jamani tuache mapenzi ya ukatoliki tuseme ukweli kosa alilofanya gwajima nilipi ukisema ukweli unakuwa mtumwa kwenye nchi hii?mbona askofu amekula hela za escrow hajaitwa police mm ni mkatoliki ila cjapendezwa na hili jambo lililo mkuta gwajima ila Mungu hawezi kuwaacha wenye roho mbaya ipo cku ukweli utakuwa wazi naimani kanisa katoliki linauwezo wakubadilisha chama endapo wataamua kwani kuwa karibu na serikali kunafanya washindwe kujiamulia nihayo tu