Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,499
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amesema "Mtu akinichokoa chokoa, nitasema vitu utatoka moshi, huwezi kufungua Macho"
Sasa itakuwaje?Maana yalianza masikio kuwa kiziwi.Sasa tukija kwenye macho tena haitaleta mtafaruku kweli?Askofu Gwajima: Mtu akinichokoa chokoa, Nitasema vitu utatoka moshi hutafungua macho
Hana lolote huyu, kama alishindwa kumfufua mama yake wakati huo huo kanisa lake linaamini kufufua waliokufa aendelee tu kula vya wajinga.Askofu Gwajima: Mtu akinichokoa chokoa, Nitasema vitu utatoka moshi hutafungua macho
Ponjoro la Jf kaa kwa kutilia utafokolewaHana lolote huyu pimbi,kama alishindwa kumfufua mama yake wakati huo huo kanisa lake linaamini kufufua waliokufa aendelee tu kula vya wajinga.
Kama kuna Janga JPM alituletea ni hiki kiumbe .
🤣😁😄😂😄😁😁🤣🤣😁😁😄😂😂Sasa Watazima Mitandao Ama VpTUTAKUWEPO👊👊👊
😁😁Kama namuona View attachment 3352703
Toto Hilo lalegeza jicho vzr had raha mmmmmwaaaaaaaKama namuona View attachment 3352703