Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,633
- 2,378
Gwajima ni tapeli tuMbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amesema "Mtu akinichokoa chokoa, nitasema vitu utatoka moshi, huwezi kufungua Macho"
Gwajima ni tapeli tuMbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, amesema "Mtu akinichokoa chokoa, nitasema vitu utatoka moshi, huwezi kufungua Macho"
Nakuelewa unachotaka hapa lakini ukifatilia comments nyiiingi humu utapata majibu kuliko mbinu yako hii ya miaka ya 60'sGwajima ni tapeli tu
Mbona hadi leo wewe hujatekwa?We utakua ponjoro tu na semeni suuuu muone Gwajinism akiliamsha unatetea utekaji na uuaji unafaidika nini wewe?
Kwani mpaka warsha?Lazima iandaliwe warsha yoyote ili Bi mkubwa Ajibu
LOOooooh!Sasa itakuwaje?Maana yalianza masikio kuwa kiziwi.Sasa tukija kwenye macho tena haitaleta mtafaruku kweli?
Hujui Mkurugenzi wa hicho chombo ni Askari katika Genge la Samia?TCRA wasiingilie kati kuubeba upande mmoja
Shida ya Hadija Kopa anafikiri kila mtu ni mzembe kama Job!! Yaani unamchamba mpaka anachanganyikiwa! Kumbe watu wengine ni vivuruge!Kwako hadija binti wa kopa 🎤
Rashid hajawahi kupoteza 😂😂😂 alisimama na bashite, bashite akawa anakimbia kimbia kuombewa....leo akiombewa na mchungaji kesho na sheikh.Shida ya Hadija Kopa anafikiri kila mtu ni mzembe kama Job!! Yaani unamchamba mpaka anachanganyikiwa! Kumbe watu wengine ni vivuruge!
Kwani Enzi za Magu vita yake na bashite ilimlenga nani?Huyo bwege Samia anamchekea atakuja kujuta, Rais anakwama wapi? Km hawezi kutumia madaraka yake aachane na urais. Wakati wa Magu angejaribu ht kukohoa? Inajulikana kabisa anamshambuliabRais, anamtishia Rais, hapambani na mtu mwingine ni Samia, kila anachosema anamlenga Rais, hiyo press itaachiwa tena ifanyike? Siamini itafika wakati nchi haitawaliki