Askofu Gwajima anajua yeye ni mbunge kupitia CCM, kwanini anashawishi uongozi wa juu Chadema umpe nafasi agombee urais 2025?

Ulitegemea chanjo itamuondolea uanachama CCM ukaona haikuwa hivyo! Sasa unatafuta visingizio dhaifu eti wamfukuze! It won't workoo (in Nigerian tone)
 
Ccm mnataabika Sana na chadema, huu mwaka maji mtaita mma,
Hata mkifunga mbowe wananchi wazalendo tutadai katiba

Mko bize kufabricate propaganda za kitoto kama kawaida yenu
 
Una ushahidi wa hizo tuhuma? Au ni porojo tu kama kawaida?
 
Hii nimenuku Maneno ya Fasiliteta
"Ndo MAWAZO ya kijana wa ccm haya, serikali hii kama ndo nyinyi mnataraji kupewa madaraka Basi ni serikali ya mazombi"

 
Deep state imeanza "chokochoko"

Kama alivyosema Jerry Muro, ikiwaka tazama ikizima papasa. Kazi kwako Gwajiboy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…