Na hii akili anaipata baada ya kula ugali na karangaNdo MAWAZO ya kijana wa ccm haya,serikali hii kama ndo nyinyi mnataraji kupewa madaraka Basi ni serikali ya mazombi
Halafu hoja zake hajibiwi badala yake wanampa mipasho.Hapo shida inayolengwa ni vile Askofu alisema kitu kuhusu ^Chanjo ya Mwendokasi!!!^
BTW: Kama makada kindakindaki na nguli wa vyama vingine vya siasa walipokelewa na kukubaliwa Sisiemu, wakapewa na vyeo, kwa nini isiwe Askofu huyu msomi, ambaye kwa kweli yuko huru kutojifungamanisha na upande wowote wenye ufa!???
Kila mtu anakumbuka mwaka jana kwenye mkutano wa Sisiemu Chamwino, mjumbe mmoja alihoji kwa nini ^wageni^ wakiingia Sisiemu wanapewa vyeo ilhali makada wa muda mrefu wanaachwa benchi!??? Jibu la mwenyekiti JPM kwa huyo mjumbe linafaa sana tu kunukuliwa alivyomjibu
Tatizo ni kwamba wameimba sana ileeeeee mwezi wa nne, tano na sita kwamba wanamwamini Bi Mkubwa. Sasa hata akiwaangusha mavumbini na majivuni, wao wanaoona wako kwenye godoro la sufu.Halafu hoja zake hajibiwi badala yake wanampa mipasho.
Wale uvccm akili sijui wamepeleka wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni kwamba wameimba sana ileeeeee mwezi wa nne, tano na sita kwamba wanamwamini Bi Mkubwa. Sasa hata akiwaangusha mavumbini na majivuni, wao wanaoona wako kwenye godoro la sufu. Kwa mtazamo pindu kama huo, lazima tu watafute kwingine pa kusingizia kasoro zinazojitokeza. Aliyesema ^Mtanikumbuka,^ ni kana kwamba alinena kwa kinywa cha malaika wa Firdausi!!!
Yaani kwa jinsi wanavyojikanyaga sasahivi,yule mzee angeweza kuibuka hata kwa dk2 aone yanayoendelea angelia sana.Tatizo ni kwamba wameimba sana ileeeeee mwezi wa nne, tano na sita kwamba wanamwamini Bi Mkubwa. Sasa hata akiwaangusha mavumbini na majivuni, wao wanaoona wako kwenye godoro la sufu. Kwa mtazamo pindu kama huo, lazima tu watafute kwingine pa kusingizia kasoro zinazojitokeza. Aliyesema ^Mtanikumbuka,^ ni kana kwamba alinena kwa kinywa cha malaika wa Firdausi!!!
Jiandae, hii inakuja huku pia, nyie vibwetere mkitoka nje mtakuwa mnakula rungu za kutosha..Ni mtanzania mjibuni kwa hoja mbumbumbu nyie. Huyo Mama yenu kahongwa mnasueni kwenye hiyo tuhuma vinginevyo Gwajima tunamwamini mno na hatuchanjwi mbwa nyie
Majungu yatakua,sio vizuri mwanaume kua na majunguAskofu Gwajima miaka kadhaa iliyopita alikuwa ni mwanachadema mzuri sana na alichangia sana harakati zao kwa fedha nyingi. Aliingia CCM kwa kuvutwa na ukabila kwa kuwa alikuwa na nia ya kuifanya Tanzania na CCM chama cha wasukuma kupitia mwendazake...
Yaani kwa jinsi wanavyojikanyaga sasahivi,yule mzee angeweza kuibuka hata kwa dk2 aone yanayoendelea angelia sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Linamkumbuka gengeTatizo ni kwamba wameimba sana ileeeeee mwezi wa nne, tano na sita kwamba wanamwamini Bi Mkubwa. Sasa hata akiwaangusha mavumbini na majivuni, wao wanaoona wako kwenye godoro la sufu. Kwa mtazamo pindu kama huo, lazima tu watafute kwingine pa kusingizia kasoro zinazojitokeza. Aliyesema ^Mtanikumbuka,^ ni kana kwamba alinena kwa kinywa cha malaika wa Firdausi!!!
Ukome kuwahusisha wasukuma katika mambo yako, nani aliyekudanganya kwamba CCM ni ya wasukuma tu ?Askofu Gwajima miaka kadhaa iliyopita alikuwa ni mwanachadema mzuri sana na alichangia sana harakati zao kwa fedha nyingi. Aliingia CCM kwa kuvutwa na ukabila kwa kuwa alikuwa na nia ya kuifanya Tanzania na CCM chama cha wasukuma kupitia mwendazake...
Marekani kila anayekubali kuchanjwa anapata dola 100Jiandae, hii inakuja huku pia, nyie vibwetere mkitoka nje mtakuwa mnakula rungu za kutosha..
View attachment 1874776